Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 680
sasa umeandikiwa, na picha imetumwa, kipi uelewi? some chini maelezo..
Sawa mkuu. siku njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa umeandikiwa, na picha imetumwa, kipi uelewi? some chini maelezo..
Wana mabadiliko wote tunatakiwa kufurahia tendo hili kwani sasa tunaelekea kushinda na demokrasia ita kwenda kutawala. Hapa CCM hatoki. Tuhakikisha yale makosa yaliyo jitokeza ya kura feki kuingia Tumeya uchaguzi Zanzibar tuna ya thibiti kwa hali na mali. Tutafanya kila njia tujue matokeo hayo yalitokea wapi kwasababu tayari kura za mwanzo zipo wazi. Tuhakikishe tuna simama imara pamoja. Na kwenye haki tusiogope police wala Jeshi. Tufanye uchaguzi wa amani na CCM will be OUT..!! " Aluta Continua "[/QUOTE
Nakubaliana na wewe!
hilo mbona ni jambo la kawaida kutokea, mifano hai miwili:
1. 2010 - Kikwete alishinda uraisi Arusha Mjini / Chadema wakachukua Ubunge. baada ya mwaka matokeo ya Ubunge yalifutwa na Lema akavuliwa ubunge, lakini ya Uraisi yalisimama. Watu wanaweza piga uchaguzi mmoja, ballot box moja ikawa sawa na nyingine ikakataliwa kwasababu za sheria ya tume.
FAST FORWARD, Oktoba 2015: Kilichotokea Zanzibar ni kwamba, Uchaguzi wa Raisi wa JMT uko sawa maana unasimamiwa na NEC, Ule uchaguzi wa ndani, wa Raisi wa ZNZ na Wawakilishi, umefutwa kutokana ana KATIBA yao ya ZNZ ya mwaka 1984.
NOTE: tatizo watu wengi wa kawaida hawajui sheria, na mambo hapo ndio yanapokorogwa. maana kuvisoma vifungu na kuvitafsiri inatakiwa mtu ambaye anauelewa mzuri.
Kwani si kuna idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kupiga
kura huko Zenji ...??
sio kweli KURA za BARA na VISIWANI hazichanganywi, NEC wanasimamia kura za Raisi wa Tanzania, bara na visiwani, huko Zanzibar wamejichanganya wenyewe na kura zao. Sisi huku bara mambo yataendelea kama kawaida.
Moja ya sababu iliyotolewa na ZEC ni kuwa kuna watu walizuiliwa kuja kupiga kura kama walifahamika ni wafuasi wa chama kingine. Sasa kama ni hivyo kwani hao watu waliozuiliwa, waliweza kupiga kura ya rais wa muungano lakini ikashindikana kwa rais wa znz tu!
La ajabu alilosema Lubuva mchana huu ni kuwa kura za wabunge na rais wa jamuhuri kwa upande wa zanzibar wamezipokea kutoka majimbo yote na hazina kasoro yoyote hivyo zinahesabika ni halali.Kwa hiyo matokeo ya Bara yatasubiri au inakuwaje ?Maana kuna kura za Bara kule Zanzibar
La ajabu alilosema Lubuva mchana huu ni kuwa kura za wabunge na rais wa jamuhuri kwa upande wa zanzibar wamezipokea kutoka majimbo yote na hazina kasoro yoyote hivyo zinahesabika ni halali.
Pia kasema kura zilizopigwa ni nyingi kuliko waliojiandikisha.
w
swali. Iweje za jamihuri ziwe sawa lakini za shein na maali ziwe zimezidi. Kivipi wakati walichagua pamoja. Au ndio ulofa huu tulioambiwa watanzania ni malofa.
Mimi naamini kuwa siku zote mpango wa MUNGU lazima utimie.Kama Mungu akikusudia kitu mwanadamu akazuia, GOD is never out of options. Kamwe siku zote MUNGU hashindwi na binadamu. Our is such a great and powerful GOD, he controls the whole universe in the palm of HIS hands. I would be very scared to battle it out against GOD, because at the end GOD will prevail and it may severely cost me. I'm scared of GOD, and i would compete with HIM.
Hatimaye ZEC wamefitilia mbali uchaguzi wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa tangazo la ZEC wameainisha mambo mawili ambayo yamepelekea kufutwa kwa uchaguzi huo ambayo ni mgombea mmoja kujitangaza mshindi kinyume cha taratibu na jambo lingine wamedai kuwa uchaguzi huo haukuwa wa huru na haki.
Hatimaye ZEC wamefitilia mbali uchaguzi wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa tangazo la ZEC wameainisha mambo mawili ambayo yamepelekea kufutwa kwa uchaguzi huo ambayo ni mgombea mmoja kujitangaza mshindi kinyume cha taratibu na jambo lingine wamedai kuwa uchaguzi huo haukuwa wa huru na haki.[/QUO
Sababu zimetolewa 9