Ngoja nikukumbushe mfanano wake.Sio tuu tume huru, sio tume halali. Ni upuuzi tuu wa huyo mama.
"...kufuatia nyongeza ya muda wananchi waliendelea kujitokeza kwa wingi...."Hivyo, kufuatia nyongeza ya muda, wananchi waliendelea kujitokeza kwa wingi tofauti na matarajio ya Tume. Hivyo, Tume iliendelea kupokea ushahidi, taarifa na maoni zaidi. Kwa sababu hiyo, Tume haikuweza kukamilisha kazi yake ndani ya muda wa nyongeza uliotolewa na hivyo kulazimika kuomba muda wa ziada ili kukamilisha kazi yake.
Hao wananchi wanatoa mawazo tofauti kiasi gani hadi inashindikana kupata sample na kufanya hitimisho?"...kufuatia nyongeza ya muda wananchi waliendelea kujitokeza kwa wingi...."
NAKAZIA Hawa Hawamalizi Jambo HiloIngepewa miaka mitano kabisa🐼
Iliundwa na watuhumiwahii tume iliundwa na nani?
sasa kumbe majibu mnayo 😂😂 msijiulize maswali mengiIliundwa na watuhumiwa
Tume yenyewe ya mama samiah, hamna kitu hapoView attachment 3568640
Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini na moja (21) na kuitaka ikamilishe kazi kabla au ifikapo Aprili 24, 2026.
Mamlaka hiyo imeeleza sababu za kuongeza muda huo kwa Tume ni pamoja na kuiwezesha Tume kukamilisha uchambuzi wa ushahidi, taarifa na maoni yaliyopokelewa, kutoa fursa kwa wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kufanyia kazi baadhi ya vielelezo vipya vilivyowasilishwa.
Sababu nyingine ni kuiwezesha Tume kukamilisha maandalizi ya Ripoti itakayowasilishwa kwa Rais na kutoa fursa kwa Tume kuandaa tafsiri ya Ripoti hiyo.
Tume hiyo ilianza kutekeleza majukumu yake Novemba 20, 2025 na kutarajiwa kukamilisha kazi yake ndani ya kipindi cha siku 90. Hata hivyo, kutokana na sababu mbalimbali, Tume iliongezewa muda wa kukamilisha kazi na kutakiwa kuwasilisha Ripoti kwa Rais kabla au ifikapo April 3, 2026.
Hivyo, kufuatia nyongeza ya muda, wananchi waliendelea kujitokeza kwa wingi tofauti na matarajio ya Tume. Hivyo, Tume iliendelea kupokea ushahidi, taarifa na maoni zaidi. Kwa sababu hiyo, Tume haikuweza kukamilisha kazi yake ndani ya muda wa nyongeza uliotolewa na hivyo kulazimika kuomba muda wa ziada ili kukamilisha kazi yake.
Tume inaendelea kuwashukuru wananchi na wadau wote waliotoa ushirikiano kwa Tume wakati wa kufanya uchunguzi, ikiwemo wale waliofika mbele ya Tume kutoa ushahidi, taarifa na maoni, waliopiga simu na kutuma ujumbe, waliotuma ushahidi, taarifa na maoni kwa maandishi na waliowasiliana na Tume kwa njia za mitandao ya kijamii.
Pia soma: Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 yaongezewa muda mpaka Aprili 3, 2026
Kwani huu mpango wa kupelekwa ICC bado upo? siyo kwamba ameshinda hii vita?Karata zote za utawala usio halali wa Samia zinazidi kuisha, akubali tu hakuna sarakasi ya Tume yake inayoweza kumuokoa kutoka kitanzi cha kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Ukatili Dhidi ya Binadamu ya ICC The Hague Uholanzi akajitete.
Atumie muda huu kuomba ushauri wa mwanasheria mkuu wa serikali yake haramu Hamza Johari na pia kuomba wakili mkuu wa serikali kuunda jopo atakaloongozana nalo kwenda ICC The Hague kujaribu kujinasua huku tukimtizama akiwa kizimbani mubashara akisomewa mashtaka na timu yake ikijaribu kumuokoa kutoka maovu makuu aliyowatendea waTanzania
Wasogozeze mpaka mwaka 3500, WATANGANYIKA sio wajinga tenaView attachment 3568640