PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Projected Vedict.

Ripoti haina jipya.

Jaji Chande aweka historia ya kuwa jaji mstaafu ambae ni chawa na mhuni.

Huu uwe ni mwanzo wa vita kati ya waloelimika na wale wanojita wasomi.

Elimu Tanzania imepigwa bao 1-0 na wajanja, mafisadi, machawa na wanojiita wasomi lakini hawajaelimika.

Wale walosoma wakaelimika waitumie hii fursa kuwaondoa wanojiita wasomi.

Huwezi kuwa wajiita msomi hadi ngazi ya phd kisha wapigwa bao na watu kama Msukuma na Baba Levo.

Ataerusha mawe ruhsa.
 
Hakuna jipya, ameacha kutaja kitu kikubwa sana, sababu ya KISIASA. tume imeshaharibu
 
Madeni, visasi vya mapenzi, kujiteka

Eti hizo ndio sababu za watu wanaodaiwa kutekwa


Your browser is not able to display this video.
 
Kazi kweli kweli.
 
Chuma Jaji Chande kiboko cha wahaini anazungumza muda huu kwa kujiamini na mtu anayejua kipi ambacho anaenda kukizungumza huu ni mfano mzuri na kuna la kujifunza hapa.
#UkweliOktoba29
 
Ngoja tusikilize mpaka mwishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…