dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Hao watu huwezi wapata maana hawana physical address ya ofisi yao hewa, wana operate kimtandaoLeo unaona wako sawa kwa sababu wanadhalilisha ambao hawajalipa ila kesho wakianza ku blackmail watumiaji wote wa hizo app kwa taarifa walizokusanya sijui kama utasema kama wako sahihi. Data privacy na data protection centres lazima zitungiwe sheria kali sana.
TCRA wameshindwa kuwadhibiti wale wa tuma kwa namba hii miaka na miaka sasa
dawa pekee ya hao watoa mikopo uchwara kuondoka, ni watu kutokopa huko
Kama umeshindwa kabisa, kopa, LIPA kwa mda