KERO Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Iwashughulikie Wakopeshaji wa Mtandaoni Wanaodhalilisha Wateja Wao Kwa Kusambaza Taarifa Binafsi Kwa Wasiohusika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Leo unaona wako sawa kwa sababu wanadhalilisha ambao hawajalipa ila kesho wakianza ku blackmail watumiaji wote wa hizo app kwa taarifa walizokusanya sijui kama utasema kama wako sahihi. Data privacy na data protection centres lazima zitungiwe sheria kali sana.
Hao watu huwezi wapata maana hawana physical address ya ofisi yao hewa, wana operate kimtandao
TCRA wameshindwa kuwadhibiti wale wa tuma kwa namba hii miaka na miaka sasa
dawa pekee ya hao watoa mikopo uchwara kuondoka, ni watu kutokopa huko

Kama umeshindwa kabisa, kopa, LIPA kwa mda
 
hao watu huwezi wapata maana hawana physical address ya ofisi yao hewa, wana operate kimtandao
TCRA wameshindwa kuwadhibiti wale wa tuma kwa namba hii miaka na miaka sasa
dawa pekee ya hao watoa mikopo uchwara kuondoka, ni watu kutokopa huko

kama umeshindwa kabisa, kopa, LIPA kwa mda
Je Kuna kesi yoyote ambayo imeripotiwa kuwa wamempeleka mahakamani mdaiwa sugu baada ya kushindwa kulipia deni lao?
 
Mjinga hajijui kuwa mjinga ila watu wengine wote wanamuona kuwa ni mjinga.

Yaani wewe kapuku ambaye huna fedha unajifanya unajuwa sheria kuliko wale wlio licensed na BOT?? Au kwa kuwa una uwezo wa kununua bando ndiyo wajifanya mjuwaji.

Lipa madeni au acha kukopa ndiyo dawa otherwise tutaendelea kukuumbua tu kama ChoiceVariable au fallacy
Mkuu huyu choice variable na fallacy walifanyaje?
 
Je Kuna kesi yoyote ambayo imeripotiwa kuwa wamempeleka mahakamani mdaiwa sugu baada ya kushindwa kulipia deni lao?
Mkuu ukimpeleka Mdeni Mahakamani mtasumbuana anaweza sema uwezo wake ni kutoa elfu 2 kila mwezi😄 utamfanya nini??? Pia Wabongo wakiona mtu anakopesha utakuta hana shida ila kaona tu hela.

Mimi sikopeshi mtu nisiemjua vizuri, nitataka Salary Slip….bank statement ya miezi sita… kama mfanyabiashara tutaangalia biashara yako pia unaweka dhamana, kama ni kiwanja nitauza nitachukua changu kilichobaki nitakupa.

Sikudhulumu usinidhulumu full stop.
 
Leo wanafanyia walioshindwa kulipa huo udhalilishaji na wanachekewa na kesho kama hawatadhibitiwa kwa data privacy laws watakuja blackmail hata watumiaji wote ambao wana data zao, kuweni makini na mnavyovitetea. Bodi ya mikopo haishindwi kudhalilisha inaowadai ila inajaribu kufata sheria za nchi.
Unachekesha sana aisee.
 
Mkuu ukimpeleka Mdeni Mahakamani mtasumbuana anaweza sema uwezo wake ni kutoa elfu 2 kila mwezi😄 utamfanya nini??? Pia Wabongo wakiona mtu anakopesha utakuta hana shida ila kaona tu hela.

Mimi sikopeshi mtu nisiemjua vizuri, nitataka Salary Slip….bank statement ya miezi sita… kama mfanyabiashara tutaangalia biashara yako pia unaweka dhamana, kama ni kiwanja nitauza nitachukua changu kilichobaki nitakupa.

Sikudhulumu usinidhulumu full stop.
Naomba unikopeshe mkuu
 
Ukikopa lipa deni kadri ya makubaliano. Mnakopa halafu hamrudishi deni, mkipigiwa simu hamupokei. Unadhani hayo makampuni hayapati hasara?

Halafu pili kuna terms and conditions kila unapoingia kwenye mikopo ya Online. Wengi hawasomi hicho kipengele. Sheria hii ya PIPA haitakusaidia kitu as long as umekubali impliedly kuwa kama hautalipa watawa contact watu wako wa karibu
Hapana, inaonekana hata wewe huna ustaarabu. Kama mlipokopeshana na mliandikiana wawili, mnakiwa mmalizane nyinyi wawili tu bila kuhusisha watu wengine wasiohusika. Hayo makampuni kama yanataka kuepuka usumbufu huo, ni lazima yaweke utaratibu wa kisheria wa kushughulikia madeni sugu, siyo kuja na njia za kipuuuzi hizo.

Kumbuka kuwa iwapo ulimkopesha mtu akashindwa kulipa haikuruhusu wewe kwenda kuiba mali zake nyumbani kwake eti kwa sababu hajalipa deni lako.
 
Hujawahi kukopa kwenye mitandao wala hujui Terms & Conditions zao. Kaa kimya!!

Kama hao watu wanaofikiri wana haki kukopa na kutolipa kisha kutopokea simu ni halali, na kisha wanaamini kuwa wanadhalilishwa kwa taarifa zao kutolewa kwa ndugu zao, waende MAHAKAMANI!! Siyo kuja hapa kutujazia server bila sababu
 
Hata Kama sijakopa; sheria ni ile ile. Huwezi kuvunja sheria kwa kisingizio cha kudai haki yako. Biashara ya kukopesha ni risky sana, unapoingia kufanya biashara hiyo uwe tayari kukabiliana na changamoto zake siyo ianze kuvunja sheria mengine za nchi. KWa USA Inaitwa “stress test.”
 
Na hiyo ndiyo moja ya changamoto sasa. Kama imekukera nenda Mahakamani ukafungue mashataka ya kuchafuliwa jina
 
Ndiyo hivyo; wanashughulikiwa sasa na vyombo vya sheria. Defamation ni kosa tofauti kabisa na breach of contract; huwezi kulipa breach of contract kwa kufanya defamation. Hizi tabia za kishenzi za kutangaza kuwa nilimkopesha mtu fulani ndugu yako hajalipa deni langu nazisikia Tanzania tu, ambako ineonakana watu kama wewe msiojua ustaarabu mnadhani defamation kumkomesha mtu alipe deni na kusahau kuwa hiyo ni kuvunja sheria nyingine tofauti kabisa.

Sijui masharti ya kukopeshana ila nitakapokuja nyumbani nitajaribu nikope halafu mtu anitangaze aone cha mtema kuni. Yaani nitahakikisha ninakuja na hela za kutosha kumbutruza mahakamai mpaka nifilisi kampuni yote.

Soma Katiba ya nchi kifungu cha 16 (1), na ndicho nitakchutumia kuifilisi kampuni hiyo

1712656719474.png
 
Kuna awa wanaojiita MSAFi wapuuzi sana wanajifanya kuchora RB uchwara
Ndiyo hivyo; wanashughulikiwa sasa na vyombo vya sheria. Defamation ni kosa tofauti kabisa na breach of contract; huwezi kulipa breach of contract kwa kufanya defamation. Hizi tabia za kishenzi za kutangaza kuwa nilimkopesha mtu fulani ndugu yako hajalipa deni langu nazisikia Tanzania tu, ambako ineonakana watu kama wewe msiojua ustaarabu mnadhani defamation kumkomesha mtu alipe deni na kusahau kuwa hiyo ni kuvunja sheria nyingine tofauti kabisa.

Sijui masharti ya kukopeshana ila nitakapokuja nyumbani nitajaribu nikope halafu mtu anitangaze aone cha mtema kuni. Yaani nitahakikisha ninakuja na hela za kutosha kumbutruza mahakamai mpaka nifilisi kampuni yote.

Soma Katiba ya nchi kifungu cha 16 (1), na ndicho nitakchutumia kuifilisi kampuni hiyo

View attachment 2958653
Kuna mazumbukuku yanaitwa M- safi wao wanatengeneza sms ya RB kutisha mdaiwa kuwa anatafutwa
 
Back
Top Bottom