Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

Unaujua uongozi wa azam media na azam fc angalia uongozi wa hzo taasisi mbili na utofautishe na uongozi wa gsm na kamati za yanga.
Hakuna tofauti mzee. Popat ni mtumishi wa Azam kampuni na ni CEO wa Azam FC.
Hersi ni mtumishi GSM na ni mjumbe kamati ya usajili ya Yanga. Tena ni mjumbe,mwenzie ni CEO.

Aliyekua Afisa habari wa Azam kabla ya Zaka,bwana Maganga,alipoondolewa kwenye kazi hiyo,amerudishwa UFM.

Azam wanadhaminiwa na maji ya Uhai na vijuice,Yanga anadhaminiwa na Godoro la chapa GSM.

So wote wanastahili kujadiliwa,na wote wanastahili kutokujadiliwa.
 
FCC wakibariki basi naamini upande wa pili nao wapinzani wa Yanga wataweka mzigo,hapo sasa itakua patashika nguo kuchanika.
 
Duh kumbe nao viongozi wa Azam wapo hivyo,basi ni kuacha tu kazi iendelee.
 
Sikuelewi!

Kwani GSM ni ya Hersi?

Ebu angalia utumbo uliouandika

Sasa huyo Hersi huko TFF alienda kufanya nini kama siyo mmoja ya watendaji wanaoaminiwa zaidi na Mmiliki wa GSM Group?
Pale Yanga uwepo wa GSM unasimamiwa kwa asilimia 100% na Hersi,unawezaje kumuignore katika hili la GSM vs TFF or Yanga?
 
Hasa lile zeruzeru mdomo kunuka ndiyo liliharibu sana kuipiga vijembe Simba kwa mgongo wa udhamini wa GSM.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni dhahiri FCC watatupilia mbali hili swala
1: Mkataba ni kati ya TFF na GSM,
Hakuna uhusiano wa mkataba huu na upangaji wa matokeo

2: GSM hamiliki timu yoyote ya ligi
Ila anadhamini baadhi ya timu na
na udhamini huu ni wa kibiashara

3: GSM wangekua wanataka kupanga matokeo ili yanga achukue ubingwa, wangeweza tu kufanya hivyo tena kwa gharama ndogo isiyofika hata bilioni moja.
 
Bora watolewe au kama vipi warudishiwe kimiambili chao

Wameweka hela ya kisheti afu masharti kibao hawataki hata watu wahoji, huo si udwanzi
Acha kupayuka mpira ni pesa unadhani hao wachezaji wanalipwa maneno?
 
Unadhani hizo akili anazo basi?
 
Shaffih Dauda na muhuni mwenzie Jemedari Said hawataiweza hii vita.

Hayo madai hayana mantiki kisimgi, Tusubiri tuone.
 
Heheheh watu wana mambo. Kwamba nchi hii tuna imani kabisa kua hiyo tume itasema huo mkataba ni batili na haupaswi kuwepo. 🤣😁
 
Hao FCC ni takataka kwanini hawahoji azam ana miliki team inacheza ligi, na ana dhamini simba na Yanga na pia azam anatoa udhamini wa kombe la FA bila kusahau Azam wana udhamin wa kurusha mechi zote za ligi... yote haya hawajawahi kuhoji ila kitu kidogo ambacho hakina maana ndo wanashupalia.

Hii nchi itabaki nyuma kwa kila kitu kama tutaendelea kuingiza siasa hadi kwenye yasio na Siasa. Huu ni ushamba na upuuzi.

Hii nahisi tulilaaniwa
 
Kwaiyo hersi ndo anawagawia vilabu izo pesa au tff ndo inaweka mgawanyo wa izo pesa? Na izo pesa si zinangia kwenye account ya tff ndo wao wanazigawa kwenye vilabu, sasa apo tatizo liko wapi?
Huu mjadala auna mashiko ni wa kupuuzwa
 
Kwaiyo hersi ndo anawagawia vilabu izo pesa au tff ndo inaweka mgawanyo wa izo pesa? Na izo pesa si zinangia kwenye account ya tff ndo wao wanazigawa kwenye vilabu, sasa apo tatizo liko wapi?
Huu mjadala auna mashiko ni wa kupuuzwa
Alikujibu nishtuwe, ngoja niwatengenezee wateja wangu nyama pendwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…