CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Hakuna tofauti mzee. Popat ni mtumishi wa Azam kampuni na ni CEO wa Azam FC.Unaujua uongozi wa azam media na azam fc angalia uongozi wa hzo taasisi mbili na utofautishe na uongozi wa gsm na kamati za yanga.
Hersi ni mtumishi GSM na ni mjumbe kamati ya usajili ya Yanga. Tena ni mjumbe,mwenzie ni CEO.
Aliyekua Afisa habari wa Azam kabla ya Zaka,bwana Maganga,alipoondolewa kwenye kazi hiyo,amerudishwa UFM.
Azam wanadhaminiwa na maji ya Uhai na vijuice,Yanga anadhaminiwa na Godoro la chapa GSM.
So wote wanastahili kujadiliwa,na wote wanastahili kutokujadiliwa.