watanzania, tu atakwa kupigwa bao la kisigino, hii taarifa ,kwanza sio rasmi,hapa na ndani ya tasisi hii yetu sio mwenzetu,hisia zangu, zaweza kunituma kwenye ukweli kwamba, suala kusema kusifia hiki kidogo sana, cha mara mbunge hafai kuwa waziri hata mimi naona it's a half logic,implication zake ni zipi , ikiwa wabunge wawe wabunge, na mawaziri kama mawaziri, mtakuwa na wabunge wangapi, na mawaziri wangapi kulinga na wingi wa wizara zilivyo, mnaweza kujikuta, kumbe afadhari na dume la panya kikwete ambavyo aliawaganya wizara mpaka kwa mama mkwe akapata wizara,, logic tume ya uchaguzi ni huru, sio hawa akina warioba ndumila uwili, wa sisiem, kuna mhuni mmoja eti ana dai tume hii imejitoa mhanga maana katiba hii haita iruhusu chadema, kuongoza Tanzanaia, kivipi, kama hii katiba imelenga kunyanyasa chama chetu cha maendeleo, sio katiba ambayo sisi wanainchi tusubiri, maana tunajua itakuja, na madebe ya unga ya unyanyaso wa, wa watanznia, wasio na hatia wenye kufuata haki zao za msingi kwa kuchagua chadema kama chama chao wanachokipenda.
namaalizia kwa kusema katiba iliyo njema ni ile ambayo imelenga kuinua uchumi wa watanzania,kuleta umoja kwa watanzania,kuleta usawa kwa watanzania,maadili kwa watanzania, na kuondoa utabaka kwa watu wake, wala si vinginevyo.