T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
Mbona hakuna maamuzi mazito hapo.....hayo yalikuwa ni lazima yawepo kwenye katiba....la sivyo isingekuwa mpya...!!!!
NI KWELI KABISA MKUU.
PIA KUNA MAMBO MENGI WALIYOYAACHA AMBAYO NI MAMBO MAZITO NA NI YA LAZIMA.
MF:
>Haki ya kupinga matokeo ya urais mahakamani.
>Kinga ya rais mbele ya sheria ifutwe .
>Madalaka ya rais yapunguzwe
>Rais anapobolonga kuwe na namna ya kumuondoa kisheria.
>Rasilimali za nchi zitumike kuwanufaisha waTz.
>Chaguzi zisifanyike siku za ibada (Changamoto ni kwamba ibada zipi na siku zipi? ingali Tz haina dini?)
>
>
>
.
.
N.k