Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kama bado wanataka mahakama ya kadhi wahamie kabisa kwa wenzao huko Saudi. Kuhusu oic wazanzibar wameruhusiwa kwa hiyo anayeshabikia vya bure bila jasho ahamie Zanzibar akashiriki story za vijiwe vya kahawa kuhusu oic.
nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya rais tu kucheki afya marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?nchi zote zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea stk wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa rais.
Hamshukuru tu?
Yaani hata mi nashangaa. unafiki ni zaid ya ugaidiKuna wengine wao wamekaa kiunafiki tu kuangalia nini kibaya kimewakuta waislamu wao wapike pilau!
SHAME ON YOU!
tushukuru nini wakati ni kodi zetu zile wakushukuru ni nyie makafiri mnaopewa hela za kodi ya wa tanzania wote kupitia mou.! Waislamu hawawezi kupenda vya bure kuliko makafiri kwani bila ya mou mngekuwa hapo...??? Au kujiziba macho na masikio ila msione haki...!! Lakn kumbukeni hata yesu (issa bin mariam) alisema "mti upopolewao mawe ndio wenye matunda" kwa hiyo tafakarini kwa yakin
Sa wakristo STK za nini wakati tangu enzi hzo mabwana zetu wamisionary walikuwa wakituletea matrekta,pkpk na magari ya maaskofu na mapadre bila hata kulipia kodi.Nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa Tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya Rais tu kucheki afya Marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?Hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?Nchi ZOTE zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati Misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea STK wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha Qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa Rais. Hamshukuru tu?
Hivi ukosefu wa ajira ndio,uandike mambo hayana kichwa wala mguu,kweli njaa si mchezo.Nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa Tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya Rais tu kucheki afya Marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?Hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?Nchi ZOTE zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati Misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea STK wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha Qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa Rais.
Hamshukuru tu?
Wakristo wote hawana sheria zao,ila nyiny Wakatoliki tu!Dini za kutungwa hizi na binadamu zinatabu sana,kwanini wasiwe wakristo wote,muwe nyinyi tu wakatoliki,wakati upande wa waislamu,ni waislamu wote.sasa mahakama.za kadhi si waliambiwa waanzishe wenyewe...mbna sie wakatoliki tuna mahakama zetu binafsi serikali haziiendeshi