Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Status
Not open for further replies.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kama tulivyo shuhudia leo tume ya warioba imekabidhiwa draft 2 ya katiba kwa kwa rais kikwete, kabla ya makabidhiano haya jaji Warioba alitoa ufafanuzi wa mambo kadhaa,katika maelezo yake hakugusia kabisa mambo ya mahakama ya kadhi hii ni ishara kwamba rasimu haijapendekeza makamama ya kadhi jambo hili limezika rasni ndoto za waislam kua na mahakama yao,pamoja na warioba kuongelea mfumo wa kimahakama(judiciary) na kibunge pia aligusia haki za binadamu, uraia,tunu za taifa,madaraka ya raisi,na muundo wa muungano.

Mungu ibariki Tanzania.

chinga 1.
 
Last edited by a moderator:
Kama bado wanataka mahakama ya kadhi wahamie kabisa kwa wenzao huko Saudi. Kuhusu oic wazanzibar wameruhusiwa kwa hiyo anayeshabikia vya bure bila jasho ahamie Zanzibar akashiriki story za vijiwe vya kahawa kuhusu oic.
 
Vya bure ni vitamu kwa kila mtu maana wenzio tunavila kupitia Vatican.
 
Ukisikia ukichaa ndio huu,mahakamani zipo kabla hats mimba yako haijajulikana
 
Uganda,Kenya zina mahakama za Kadhi na idadi ya Waislam ipo chini kuliko Tanzania tatizo la watanzania mpaka yawakute kumbukeni maji yanapozuiliwa njia yake ya kawaida hutafuta njia nyengne ambayo kawaida huleta madhara, angalieni mbali msitizame karibu.
 
Nipeni mimi tenda niwaanzishie hizo Mahakama kama nyinyi mmeshindwa mkiisubiri Serikali!
 
Nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa Tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya Rais tu kucheki afya Marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?Hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?Nchi ZOTE zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati Misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea STK wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha Qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa Rais.
Hamshukuru tu?
 
sasa mahakama.za kadhi si waliambiwa waanzishe wenyewe...mbna sie wakatoliki tuna mahakama zetu binafsi serikali haziiendeshi
 
Kuna wengine wao wamekaa kiunafiki tu kuangalia nini kibaya kimewakuta waislamu wao wapike pilau!
SHAME ON YOU!
 
nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya rais tu kucheki afya marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?nchi zote zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea stk wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa rais.
Hamshukuru tu?

tushukuru nini wakati ni kodi zetu zile wakushukuru ni nyie makafiri mnaopewa hela za kodi ya wa tanzania wote kupitia mou.! Waislamu hawawezi kupenda vya bure kuliko makafiri kwani bila ya mou mngekuwa hapo...??? Au kujiziba macho na masikio ila msione haki...!! Lakn kumbukeni hata yesu (issa bin mariam) alisema "mti upopolewao mawe ndio wenye matunda" kwa hiyo tafakarini kwa yakin
 
Kuna wengine wao wamekaa kiunafiki tu kuangalia nini kibaya kimewakuta waislamu wao wapike pilau!
SHAME ON YOU!
Yaani hata mi nashangaa. unafiki ni zaid ya ugaidi
 
tushukuru nini wakati ni kodi zetu zile wakushukuru ni nyie makafiri mnaopewa hela za kodi ya wa tanzania wote kupitia mou.! Waislamu hawawezi kupenda vya bure kuliko makafiri kwani bila ya mou mngekuwa hapo...??? Au kujiziba macho na masikio ila msione haki...!! Lakn kumbukeni hata yesu (issa bin mariam) alisema "mti upopolewao mawe ndio wenye matunda" kwa hiyo tafakarini kwa yakin

Mkuu bluecolour hiyo ni mathayo ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima mahakama ya Kadhi kuoneshwa kwenye katiba. Katiba inatambua mahakama zilizopo na mahakama yoyote itakayo anzishwa kwa mujibu wa sheria.

  • kuna mahakama za kazi
  • kuna mahakama za ardhi
  • kuna mahakama ya biashara
  • pia kuna mahakama ya watoto
hizi zote zipo kwa kutungiwa sheria lakini hazipo kwa kuoneshwa ndani ya katiba
hivo mahakama ya kadhi kwa ajili kukidhi taratibu na mashakil ya waislam katika mambo yao ya ndoa, watoto na urithi inawezekana kabisa kuwepo kwa kutungiwa sheria.
hili linataka nia ya kisiasa na kutambua kuwa waislam wana sheria zao kuhusu mambo ndoa,watoto na urithi.

tatizo kubwa la waislam ni tangu kuanza kwa mchakato huu wa kutaka jambo hili ni kuwa kulikosekana umoja na uwezo mdogo sana kuhusu mambo ya "Lobbying"
ma,bo haya yanataka kufanya lobbying kuanzisha mfano website ya jambo hili, kutengeneza mfano wa katiba wanayotaka kwa kushiriakiana na taasisi zinazotafatuana , madhehebu mballi mbali, wasomi wa elimu dunia nk

ukweli jambo hili lilidaiwa kwa mtindo wa kiharakati zaidi hatukua na mipango na mkakati wa kitaalam ambao ungewezesha kuwaelewesha wale walio kuwa na wasi wasi kuondoa shaka, na pia tulitakiwa kufanya warsha za kitaaalam kwa kuwashirikisha wabunge wote juu ya umuhimu wa kadhi kwa waislam.

kampeni nyingi zilifanywa kwa mtindo wa kiharakati, kulaamu na kihasira hatimae ikawa vurugu na bakwata wakaanzisha "mahakama yao ya upenuni ya kadhi"

mambo ya sheria yanataka kushirikishwa wataalam wa sheria walobobea sio masheikh. masheikh wetu walitakiwa wateue jopo la wasomi ili wapendekeze njia bora ya kuishawishi serikali na bunge juu ya jambo hili, na jopo hili lilitakiwa litoke kutoka watu wa rika zote ambao ni waislam. masheikh wao kazi yao ingekua kushauri tu pale inapo takiwa.

ukweli masheikh wetu wametuangusha ikiwa ni bakwata ama wengine lakini bado nafasi ipo kuishawishi serikali kuruhusu sheria hii tuwache ubinafsi .

tusome kidogo wenzetu Kenya walivooa guidlines yao kisomi.

Attachments

Nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa Tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya Rais tu kucheki afya Marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?Hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?Nchi ZOTE zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati Misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea STK wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha Qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa Rais. Hamshukuru tu?
Sa wakristo STK za nini wakati tangu enzi hzo mabwana zetu wamisionary walikuwa wakituletea matrekta,pkpk na magari ya maaskofu na mapadre bila hata kulipia kodi.
 
Nyie,mahakama ya kadhi mnayoishadadia haina faida kwa mlala hoi wa Tanzania cha mkunga akijikuna anatoka unga. Safari ya Rais tu kucheki afya Marekani na watu wake hugharimu walala hoi tsh milioni zaidi ya 700. Mara safari zake ulaya za kila wiki unategemea nini?Hapohapo mnataka kuwa na bajeti yenu si mtazidisha ugumu wa maisha?Nchi ZOTE zinazoongozwa kiislam hazina amani. Wakati Misri wanataka kujitoa nyie mnataka kujiingiza. Shehe mkuu wenu anatembelea STK wakati hakuna padre wala askofu anayetembelea magari hayo. Kitengo cha Qur'an nacho kiko ofisi ya makamu wa Rais.
Hamshukuru tu?
Hivi ukosefu wa ajira ndio,uandike mambo hayana kichwa wala mguu,kweli njaa si mchezo.
 
sasa mahakama.za kadhi si waliambiwa waanzishe wenyewe...mbna sie wakatoliki tuna mahakama zetu binafsi serikali haziiendeshi
Wakristo wote hawana sheria zao,ila nyiny Wakatoliki tu!Dini za kutungwa hizi na binadamu zinatabu sana,kwanini wasiwe wakristo wote,muwe nyinyi tu wakatoliki,wakati upande wa waislamu,ni waislamu wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom