Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kama tulivyo shuhudia leo tume ya warioba imekabidhiwa draft 2 ya katiba kwa kwa rais kikwete, kabla ya makabidhiano haya jaji Warioba alitoa ufafanuzi wa mambo kadhaa,katika maelezo yake hakugusia kabisa mambo ya mahakama ya kadhi hii ni ishara kwamba rasimu haijapendekeza makamama ya kadhi jambo hili limezika rasni ndoto za waislam kua na mahakama yao,pamoja na warioba kuongelea mfumo wa kimahakama(judiciary) na kibunge pia aligusia haki za binadamu, uraia,tunu za taifa,madaraka ya raisi,na muundo wa muungano.
Mungu ibariki Tanzania.
chinga 1.
Mungu ibariki Tanzania.
chinga 1.
Last edited by a moderator: