Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao
Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi?

Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na kuzungumza nao?
Muulize huyo wa usalama wa taifa mstaafu akiwa uko aliwai kutana na vijana wangapi akabonga nao?

Muulize huyo tax na wenzake waliwai kutana na vijana wa mitaani lini na wapi?

Najiuliza rootcourse ya maandamano ilifanywa na vijana kwa Nini unakwepa wananuka kinyesi?
Tume ya wazee Leo TUNAKUTANA na wazee WA Dsm walio paka Ina kwenye videvu, piko kwenye nywere zilizo na mvi na WANYWA Hali kasusu Ili iweje?
 
NATAMANI KUJUA YAFUATAYO

1.Mkutano utakuwa wapi?
2.Wao wazee wanatokea wapi?
3.Watakuja na usafiri gani?
4.Ulinzi wao ukoje ?

ONYO: ULINZI uimarishwe kwa wazee wa CCM vinginevyo tusilaumiane leo
 
Vijana hatutaki kukutana tunataka haki
 
NATAMANI KUJUA YAFUATAYO

1.Mkutano utakuwa wapi?
2.Wao wazee wanatokea wapi?
3.Watakuja na usafiri gani?
4.Ulinzi wao ukoje ?

ONYO: ULINZI uimarishwe kwa wazee wa CCM vinginevyo tusilaumiane leo
kah! Wajuba mnatembeza bit mpaka kwa wazee wa daslam? Hii kali!
 
NATAMANI KUJUA YAFUATAYO

1.Mkutano utakuwa wapi?
2.Wao wazee wanatokea wapi?
3.Watakuja na usafiri gani?
4.Ulinzi wao ukoje ?

ONYO: ULINZI uimarishwe kwa wazee wa CCM vinginevyo tusilaumiane leo
Mkutano ni ukumbi wa mkutano wa Kimataifa wa JK Nyerere.

Hao wazee wahudhuriaji ni watu maalumu, wanajuaga wenyewe wanawatoa wapi na ni kina nani ila siyo wazee wa kuokoteza tu barabarani.
 
Back
Top Bottom