Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

imetokea ajali lengo lilikuwa asijulikane bahati mbaya ikawa sivyo ni sawa kuwanga karibu na asubuhi
 
imetokea ajali lengo lilikuwa asijulikane bahati mbaya ikawa sivyo ni sawa kuwanga karibu na asubuhi
Hapana,video inamuonyesha kaamua boda isimame na aongee na aliekuwa anaongea nae katika kile kikundi cha watu.
 
Mimi nadhani hakuna tatizo. Labda alionelea bodaboda ingemsaidia kuokoa muda/kufika mapema. Au ni njia ipi unadhani ingekuwa bora kutumika!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa hivi hawaangalii sheria, bali wanaangalia Magufuli anataka nini. Kwao sheria hazina uhakika wa kulinda vibarua vyao, hivyo wanatii chochote atakacho Magufuli, maana hawana ujanja wa kuwa na maisha mazuri nje ya ajira za serikali. Na Magufuli anaujua ukweli huo, hivyo anawapeleka atakavyo, na sio sheria zitakavyo.
 


sasa nn cha maaana apa unachotaka kusema? pikipiki sio usafiri ama? au mnataka muweke kwenye ilani yenu? saa ingine hua naaminigi wana cdm hua wanakuaga tungi 24/7,
 
Lisu ataenda, cha msingi wamlindie muda wake na ratiba yake isibugudhiwe.
 
Wee jamaa mbona huwa una kiherehere sana. Kila kitu Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninafikiri hiki kiumbe ni kile kile kimejibatiza Alumni Kawe na Bia yetu. Ukisoma vizuri comments zake muundo ni ule ule na maudhui ni yale yale ya kichekechea. Kwa vile ana hivyo vi-avatar inakusaidia kutosoma hata neno la kwanza la comment. Unapitiliza na inakusaidia kutohangaika kumjibu. Maana kujibizana na mpumbavu nako ni kazi.
 
Kuna utopolo na matapolo ya kila aina kwenye serikali ya awamu hii tunapaswa kufanya kitu kuwaondoa hawa watu, ni zaidi tu ya kuwapigia kura ya hapana tunapaswa kuwaondoa hata kwa nguvu.
 
Wamemtaka Lissu ajieleze juu ya kauli yake kuwa atawaingiza watu barabarani. Yeye kawajibu in public kuwa alichosema ni "Tume ihakikishe uchaguzi unakuwa huru matokeo yanatangazwa kwa haki, nothing more nothing less".

Sasa Tatizo liko wapi hapo? Tume inaogopa nini kutahadharishwa kuwa ihakikishe inatenda haki kwa kuwa kinyume chake watu watapinga kwa nguvu zote kama inavyotokea huko Belarus?

Hivi Magufuli asipotendewa haki, atakaa kimya?
 
Kuna magari ya wakurugenzi yashabadilishwa namba mpaka sasa toka SM to ALK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…