Kwani NEC na ofisi ya msajili wa vyama ni ofisi moja?!
Hawa wateule wa meko ni aibu kwa taifa, I wish ningekuwa hapo ofisini ningemwambia live matendo yenu ni aibu kwa taifa letu.
Lissu keshasema sheria inataka apewe masaa 48 kujibu hizo tuhuma, sasa hizo mbio zao za bodaboda hazina maana yoyote, na wasijaribu kumsimamisha kuendelea na kampeni, utakuwa ujinga wa kiwango cha juu na fedheha kwa hiyo ofisi.
Akitoka Lissu wamuite na Magufuli akajieleze kwa nini anatoa ahadi za ujenzi wa barabara wakati huu wa kampeni, wakishindwa kufanya hivyo ndio watathibitisha wao ni aibu kwa hili taifa.