Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Du, shida yote hiyo ya nini wakati wote ni wa Tanzania
 
Kama kiongozi mkubwa Kama huyu anashindwa kutumia akili ndogo tu yakujilinda kwa uhai wake analazimishwa kufanya Mambo yakitoto hivi tunategemea Taifa litaendelea?

Mnamwogopa binadamu ambaye siku zake zakuishi hapa Duniani hazijui Kama Mimi na wewe tusivyozijua?

Mimi ningekuwa nimesoma nisingefanya huu ujinga wakudhalilisha familia yangu kwa kiwango hiki. Bora niishi kwa mihogo nikiwa huru kuliko huu utumwa.

It's sad hasa pale unapogundua huyu mwanaume ana mke kamwacha nyumbani, ana watoto kawaacha nyumbani.

Tunasoma kwa ajili ya nini Kama wasomi wenyewe ndo Hawa?

Tunaidhalilisha nchi kwa kweli
 
[emoji3][emoji3][emoji3]si kapelekewa barua kama alivyodai??!

labda sasa aseme haachi campaign kuitikia wito sababu aliyempelekea barua kaenda kimzaha mzaha.
 
Back
Top Bottom