Kama kiongozi mkubwa Kama huyu anashindwa kutumia akili ndogo tu yakujilinda kwa uhai wake analazimishwa kufanya Mambo yakitoto hivi tunategemea Taifa litaendelea?
Mnamwogopa binadamu ambaye siku zake zakuishi hapa Duniani hazijui Kama Mimi na wewe tusivyozijua?
Mimi ningekuwa nimesoma nisingefanya huu ujinga wakudhalilisha familia yangu kwa kiwango hiki. Bora niishi kwa mihogo nikiwa huru kuliko huu utumwa.
It's sad hasa pale unapogundua huyu mwanaume ana mke kamwacha nyumbani, ana watoto kawaacha nyumbani.
Tunasoma kwa ajili ya nini Kama wasomi wenyewe ndo Hawa?
Tunaidhalilisha nchi kwa kweli