Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

Mpo likizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa wewe kuudhibiti moyo wako.....kitendo cha wewe kuileta hapa tukushauri ni kwamba moyo umeshindwa kuhimiri kile ulichokiamua.....
 
Hivi wanawake wanafutaga namba za simu kweli? Nadhani huwa wanafuta baada ya muda mrefu kupita!
 
Hivi wanawake wanafutaga namba za simu kweli? Nadhani huwa wanafuta baada ya muda mrefu kupita!
Nimeshangaa sana,yani unaweza pita muda mrefu ukiwa huna habari ukashangaa kakutafuta
 
Endelea mkuu hapo unapopita upo kwenye mafunzo ya kuwa baharia👮 nadhani ukihitimu mafunzo hayo makali yenye kuweka moyo magamba na kuwa mwanaume mwenye misimamo mgumu utakuja kufurahia mapenzi rasmi.wewe endelea kupata training hapo unapopita kila man amepita
 
Hapa ni kukaza tu asepe siwezi rudia mahusiano ambayo najua baada ya muda mchache tutarudi kule kule.

Ni utoto na upotevu wa muda
 
Kweli mkuu.
Nilishaachana na dem akaendelea kujipendekeza kwangu nami nikamsikiliza. Alikuja kunipiga pigo moja matata. Ntamchukia miaka yote
 
Kweli mkuu.
Nilishaachana na dem akaendelea kujipendekeza kwangu nami nikamsikiliza. Alikuja kunipiga pigo moja matata. Ntamchukia miaka yote
Jana alinitxt asubuhi" Za kwako"

Nimeipoitezea hadi leo na sina mpango wa kuijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…