Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
- Thread starter
- #81
Na siku hiyo kilichofanya tutengane alinipiga mzinga akadai anataka ashone sare flani.Yupo busy na nini sasa?! Mtu akikwambia au kukuonyesha yupo busy msubirie kwenye kuombana hela. Unamchapa tu swali moja kuwa mimi mtu akiwa busy nahisi anatengeneza pesa. Sasa wewe upo busy na pesa hupati, what is the use of being unavailable at the expense of mahusiano yetu ili kufurahisha nafsi yako?!
Nilimjibu kitu kibaya ndo ikawa end of the story.