Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

[emoji2]Na kilichofanya tutengane ni yeye kujifanya yuko busy sana hawezi kuja geto
Nikaona cha kugombania nini kila mmoja ashike hamsini zake.

Sasa najiuliza kwanini asiendelee na ratiba zake au ananichora nini.
Mbona mmeachana kwa sababu dhaifu hivyo?
 
Iwapo je mwanamke, yeye ndie aliamua kukuacha then baada ya muda ndio anakuwa anakulaumu kwann humjulii hali nk.
Unajua Katika mahusiano hata kama mwanamke mwenyewe amekuacha Kuna muda anamisi uwepo wako, si mara zote ulikuwa mbaya kwake, Kuna mazuri yako mengi tu anayakumbuka.

Moyo wa mwanamke hausahau haraka yawe mabaya au mazuri ndiyo maana anaweza kuachana na wewe lakini bado akaendelea kutunza namba yako.

Mwaka mmoja ni mchache sana kwa mwanamke kukufuta moyoni mwake lakini kwa mwanaume mwezi tu unatosha kumfuta mwanamke na kumsahau.

Ile kukupigia pigia sio kwamba mwanamke anakupenda kivile ila basi tu anajisikia raha tu kuwa angalau unakumbuka uwepo wake.
 
Kwani huna ugwadu weye? Au unapiga nyeto?
😉😉😉
Habari wakuu

Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh.

Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama kibao[emoji3]

Mfano punde tu katoka kunitxt na lawama zile zile na hapo alinicheki tena tar17/3.

Hivi mtu wa aina hii nikumjibu tu vibaya au nifanyaje wakuu? kwa ambao washakutana na hizi changamoto.

Nikiri wazi nampenda sana ila sitaki kabisa kurudisha haya mahusiano na nnapambana sana nimtoe moyoni ila kila nnapoanza kumsahau ndio anajitokeza.

 
Lakini Ajuza wa JF me naona labda hakutaraji ntasepa mazima maana kipindi tuko kwenye mahusiano alikuwa akipenda kunisumulia jinsi anavopata usumbufu toka kwa wanaume na badae akakata mguu kuja kwangu akidai yuko busy sana[emoji3]

Sasa kwa kuwa nlimuonesha namkubali sana alifikiri ntakubali kile anachoamua yeye so nlipoamua kuvunja mahusiano alikubali tena bila hata kusita.

Sasa hii ya kuja kuja kwenye maisha yangu wakati yeye ni mrembo,mdogo na anatongozwa sana siielewi ikoje.

Na naomba unisaidie hizo mbinu za kumsaidia aoendoke mazima
Sio kuwa hakutarajia kuwa utaondoka mazima ila ni kuwa huko alikotarajia kwenda amekuona pa foo alichokuwa anakitarajia sicho alichokikuta.

Mwanamke anayekupenda hawezi kujifanya yuko bize sema alikuwa ameshapata mbadala wako ila kwa sababu anajua unampenda sana alikuwa anaogopa kukuumiza ndiyo maana uliposema wewe muachane alikubali fasta ili hata kama atakapoenda patabuma uonekane wewe ndiye uliyemuacha.

Mwanamke anayekupenda hawezi kuondoka kirahisirahisi hivyo, ndiyo ule msemo wa wanawake ving'ang'anizi ulipoanzia lazima angeendelea kutaka abaki hata kama humtaki tena, ungekosea wewe msamaha angeomba yeye.

Lakini huyo wako kinachomtesa sasa ni upweke, endelea tu kumpa kampani mpigie hata mara moja kwa wiki, wakati huo ukipunguza mawasiliano taratibu hatimaye ataondoka mazima.
Labda sema shida iko kwako vile unampenda unaogopa kurudisha majeshi .
 
Hadi kuachana na sisi nako tuwasaidie, hapana kwa kweli, too much.
Ndiyo Mjue na jinsi ya kutuacha sasa sio mnatupa mahaba moto moto halafu ghafla tu mnaanza baby nikuambie kitu, naona mimi na wewe hatuna future naomba tuachane.

Mkitaka kutuacha mnatakiwa mpunguze mahaba taratibu mpaka mwanamke mwenyewe anajua hapa sina changu na yeye anakaa mkao wa kusikilizia kibuti kuwa kitalia wakati wowote.
 
Muulize hivi,

Ukipanda Kimbinyiko tokea Dar kwenda Dom, ukishuka Dom ,huwa wanakuuliza kama home umefika salama???

Mkiacha ndo kwisha habari zenu.
 
Duh, kuna mmoja tumebwagana ila haachi kunitafuta ila sipokei wala kujibu sms zake. Juzi amepiga sana sijapokea, akatuma sms eti nikiwa free nimpigie. Sifanyi hiyo biashara. Yeye atengeneze mazingira ya kuachana kisha aanze kusumbua watu halafu na mimi nicheze kwa mdundo wake!..hell no.
Sure asee!
 
[emoji2]Na kilichofanya tutengane ni yeye kujifanya yuko busy sana hawezi kuja geto
Nikaona cha kugombania nini kila mmoja ashike hamsini zake.

Sasa najiuliza kwanini asiendelee na ratiba zake au ananichora nini.
Yupo busy na nini sasa?! Mtu akikwambia au kukuonyesha yupo busy msubirie kwenye kuombana hela. Unamchapa tu swali moja kuwa mimi mtu akiwa busy nahisi anatengeneza pesa. Sasa wewe upo busy na pesa hupati, what is the use of being unavailable at the expense of mahusiano yetu ili kufurahisha nafsi yako?!
 
Back
Top Bottom