Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

[emoji2]Na kilichofanya tutengane ni yeye kujifanya yuko busy sana hawezi kuja geto
Nikaona cha kugombania nini kila mmoja ashike hamsini zake.

Sasa najiuliza kwanini asiendelee na ratiba zake au ananichora nini.
Mbona mmeachana kwa sababu dhaifu hivyo?
 
Iwapo je mwanamke, yeye ndie aliamua kukuacha then baada ya muda ndio anakuwa anakulaumu kwann humjulii hali nk.
Unajua Katika mahusiano hata kama mwanamke mwenyewe amekuacha Kuna muda anamisi uwepo wako, si mara zote ulikuwa mbaya kwake, Kuna mazuri yako mengi tu anayakumbuka.

Moyo wa mwanamke hausahau haraka yawe mabaya au mazuri ndiyo maana anaweza kuachana na wewe lakini bado akaendelea kutunza namba yako.

Mwaka mmoja ni mchache sana kwa mwanamke kukufuta moyoni mwake lakini kwa mwanaume mwezi tu unatosha kumfuta mwanamke na kumsahau.

Ile kukupigia pigia sio kwamba mwanamke anakupenda kivile ila basi tu anajisikia raha tu kuwa angalau unakumbuka uwepo wake.
 
Kwani huna ugwadu weye? Au unapiga nyeto?
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Sio kuwa hakutarajia kuwa utaondoka mazima ila ni kuwa huko alikotarajia kwenda amekuona pa foo alichokuwa anakitarajia sicho alichokikuta.

Mwanamke anayekupenda hawezi kujifanya yuko bize sema alikuwa ameshapata mbadala wako ila kwa sababu anajua unampenda sana alikuwa anaogopa kukuumiza ndiyo maana uliposema wewe muachane alikubali fasta ili hata kama atakapoenda patabuma uonekane wewe ndiye uliyemuacha.

Mwanamke anayekupenda hawezi kuondoka kirahisirahisi hivyo, ndiyo ule msemo wa wanawake ving'ang'anizi ulipoanzia lazima angeendelea kutaka abaki hata kama humtaki tena, ungekosea wewe msamaha angeomba yeye.

Lakini huyo wako kinachomtesa sasa ni upweke, endelea tu kumpa kampani mpigie hata mara moja kwa wiki, wakati huo ukipunguza mawasiliano taratibu hatimaye ataondoka mazima.
Labda sema shida iko kwako vile unampenda unaogopa kurudisha majeshi .
 
Hadi kuachana na sisi nako tuwasaidie, hapana kwa kweli, too much.
Ndiyo Mjue na jinsi ya kutuacha sasa sio mnatupa mahaba moto moto halafu ghafla tu mnaanza baby nikuambie kitu, naona mimi na wewe hatuna future naomba tuachane.

Mkitaka kutuacha mnatakiwa mpunguze mahaba taratibu mpaka mwanamke mwenyewe anajua hapa sina changu na yeye anakaa mkao wa kusikilizia kibuti kuwa kitalia wakati wowote.
 
Muulize hivi,

Ukipanda Kimbinyiko tokea Dar kwenda Dom, ukishuka Dom ,huwa wanakuuliza kama home umefika salama???

Mkiacha ndo kwisha habari zenu.
 
Sure asee!
 
[emoji2]Na kilichofanya tutengane ni yeye kujifanya yuko busy sana hawezi kuja geto
Nikaona cha kugombania nini kila mmoja ashike hamsini zake.

Sasa najiuliza kwanini asiendelee na ratiba zake au ananichora nini.
Yupo busy na nini sasa?! Mtu akikwambia au kukuonyesha yupo busy msubirie kwenye kuombana hela. Unamchapa tu swali moja kuwa mimi mtu akiwa busy nahisi anatengeneza pesa. Sasa wewe upo busy na pesa hupati, what is the use of being unavailable at the expense of mahusiano yetu ili kufurahisha nafsi yako?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…