Tumeachana lakini huwa najisikia vibaya kuona anashida

Tumeachana lakini huwa najisikia vibaya kuona anashida

Da'Vinci ulisema hawa ndo demi wooooootiii?
Siwezi sema kwamba ndie au sie. Kama ni jina kilaamtu anaweza kujiita hivyo kama ni kwasababu hapendi kumuona na shida basi ni kwakua kila Mwanadamu ana soft-kinde spot kwa watu wenye shida. Hasa kama mnashea history fulani
 
Siwezi sema kwamba ndie au sie. Kama ni jina kilaamtu anaweza kujiita hivyo kama ni kwasababu hapendi kumuona na shida basi ni kwakua kila Mwanadamu ana soft-kinde spot kwa watu wenye shida. Hasa kama mnashea history fulani
Si ulisema hawa wanaumiagaaaa.
Wanakua wana hubaaaa.
Sasa hili si huba?
 
Si ulisema hawa wanaumiagaaaa.
Wanakua wana hubaaaa.
Sasa hili si huba?
Yes wana huba. Ila huba sio kigezo cha mtu kua demisexual. Kua demisexual ni kwamba unavutiwa na mtu mmoja pekee ambae mna Strong bond.
But for another kwakua hatujui history au behavior zao basi inawezekana kweli ni Demisexual
 
Anyday ataona WX4OF5CP85RJ Imethibitishwa....... Sipendagi dharau za rejareja kabisa.
 
Nakumbuka xwangu tuliachana alinitukana sana yaani mtaa mzima ilikua aibu! Kisa kapata mtu anavisent wakati huo Mie chanel chenga nyingi! Nakumbuka neno lake la mwisho aliniambia umefulia toilet paper! Sikuhitaji tena Aisee! Nilimwambia tafuta mtu mwenye Hela nyingi sababu utatamani kurudi na utashindwa! Ilipita miaka 6.

No any communication! Siku moja rafiki yangu ananiambia xwako amelazwa na Hamna msaada wowotewamemwambia arudi home maana ame paralyze kuanzia kiunoni! Ilikua changamoto za kujifungua. Nilipiga sim mda ule ule nikamwambia kama naweza fanya kitu. Nikaongea na dr wakaniambia anahitaji mambo mengi ikibidi ahamishiwe hospital kubwa! Nitafanya hivo nakumbuka doz ya dawa ilikua Kama 40000 na haimalizi wiki!

Nilimuhudumia kipesa nikaweka hadi house girl, yule dada Hadi Leo anatembea miezi sita ilikua maana alianza kujifunza kutembea upya! Alipopona nikakata mawasiliano nae na namba yake niliiblock.
 
Hayo ni matatizo ya kujitakia.

Usijikwamishe kwa mtu ambae hana mapenzi na wewe hata kidogo, usikubali kuwa mtumwa wa mapenzi.

Pesa ya kumpa yeye bora uifanyie starehe yoyote ambayo itausuuza moyo wako kuliko kuipoteza kwa mtu ambae hana faida na wewe
 
Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu nilikuwa bado namuhitaji lakini ndo ugomvi sana. Nikaamua kukubaliana na hali maana alikuwa kashapata mshikaji mwingine ambaye alisabibisha mimi na yeye tuachane japo ilinichukua mda kidogo sababu nilipata depression.
Inaonekana bado unampenda...
 
MZEE UNAIABISHA TAALUMA YA UANAUME ............


YAAN NDO KITU CHA KUOMBA USHAUR HICHO........

BINAFSI NAISHI KAMA MAREKANI VILE .......UKINIZNGUA NAKUWEKEA VIKWAZO AMBAVYO ITAKUWA NGUMU KUCHOMOKA[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom