Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Mungu tumwache aitwe Mungu maana kama sio Mungu leo ningenyanyaswa na mchaga. Mchaga kiasili ni wabinafsi na choyo na ubaguzi sana. Hata ofisini ukiwa na mchaga aisee jipange sana labda awe mkubwa kwako.
 
Tuhuma dhidi ya wachaga zimevuma saana, Mimi si mchaga lakin nimeishi nao saana, mengi mnawasingizia....
 
"Chasaka"....ndivo Wachaga wanavowaita watu wa makabila mengine
 
We nenda tu ila jua kuwa asili ndio huzaa ubaguzi, mtu Kama mtu sio mbaguzi ila asili yake ndio huleta kubagua. Wajaluo ni Kama wahaya, tofauti yao ni kuwa wajaluo Hawapendi mafanikio ya wengine. Wana wivu wa kizamani, wivu Negative!
kama akinyi hakupenda maendeleo ya chriss
 
Mkuu anayempenda hawezi kuwa na mtu mwingine hebu tuacheni masihara na ubinafsi jamani au mnamuona huyo dada ana moyo wa chuma "eti kaamua kujiachishwa" seriously?
 
Pole mwanamke mwenzangu,sio mtaalamu wa mapenzi lakini nakupa kile ninachokiona,huyo anatumia tu ukabila kuondokana na wewe maana nafsi inamsuta anakuanzaje na katumia kivuli cha wazazi wake tu kujustfy matendo yake,inashangaza.Anaekupenda asingefanya hata hizo dharau za kupiga simu kwa mtu mwingine mbele yako achia mbali kukuonyesha kuwa kuna mwanamke mwingine,Please Mungu kamuandikia kila mtu story yake ya maisha ni ngumu ila kaza moyo maisha yaendelee.
 
Umefanya maamuzi sahihi shigaangu? Njia mbili zilimshinda fisi. Kama ameshindwa kuamua awe na nani kati yenu wawili na hakubali kumuacha huyo aliyechaguliwa na wazazi, uamuzi wako kujiondokea ni sahihi kabisa. Muda uliopoteza naye umetosha. Jali maisha yako, kama ulipangiwa ndoa, ipo tu itakuja.
 
Acheni chuki na wachagga, umeachwa kwa sababu nyingine, embu muulize vizuri huyo muachaji, acha kulia lia
Atumie lugha gani sasa kumuuliza? Usiwatetee wachaga, ubaguzi huo wanao. Kama wewe ni mchaga pia kubali ukweli huo mchungu!
 
kuna baazi ya makabila ukipeleka home wanaweza kukupeleka mirembe, mimi binafsi nikishajua mwanamke ni msukuma au mgogo nakutema hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…