Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Kwakweli...Tuache kununua maduka yao..wakafungue maduka yao kwao huko...WANATAKIWA watengwe... Haiwezekani wakadharau makabila mengine...wakati wamejaa Mikoa ya Watu wakifungua maduka na tunawaungisha..

.Tena HUWA wanakuwa na umoja na kuwaibia wafanyabishara wale ambao Ni competitors wao...na kuwafanyia fitna wasipate mafanikio.

Wachaga watengwe.... Maduka yako tusinunue na biashara zao tusiwape support...
Maana wanajiona kuwa wako Bora kuliko Watu wengine..
.
Hivi mkuu cariha kwa akili za kawaida utaacha kuwa na hasira na mafirauni kama haya??
Hebu njoo huku umsome mwanamke mwenzio maana tukiongea sisi wanaume utopolo wa wachaga tunaonekana Kama tumetoswa na dada zao vikojozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaolewe kwenu mkabila wewe! Mchaga wa milimani kwani kawa wale mbuzi wa kwenye majabali?
 
Ulikosea njia tu ila kusema kweli Wachaga, wahaya, wanyakyusa nadra sana kuoa kabila jingine.

Akikupenda sana atakuoa ila shinikizo la kwao litamfanya aoe mwanamke mwingine wa kichaga ambaye anaweza hata kumuacha huko kwao.
 
Basi mimi nimeolewa na mchaga huo ubaguzi sijauona. Na tuliolewa hapo tu ajaliwa sana na kama vile waliambizana vijana wao wote wameoa huko kabila zingine. Hapa nachotaka kusema msii generalize mambo kila koo au familia ni tofauti.
 
Mimi mchaga na babangu ananikazia lazima nioe mchaga nikitaka kuoa.japo babangu ni muislamu pure alieshika dini



Ila mimi ni mchaga rebel sina kabisa mambo yao ya kichaga na nitaoa yoyote sitaki limit kwenye maisha yangu.

Sawa Mpalestina
 
Back
Top Bottom