Wewe umekutana na wanawake of your own caliber..
Huwezi kua mtu C ukutane na mwanamke A...
Hao wote ni size yako wewe kwa jinsi ulivyo...
Makabila yote yana wanawake wazuri sana na wabaya sana.....
Upo devastated na kuachwa na wanawake bora maana wewe ni mtu C.....wasichana wa grade A huwezi wapata maana wewe ni C,hapo hakuna ukabila ni class issue...
Hata ukienda kwenye kabila lenu bado wasichana wa grade A hupati,na wao utawaita wakabila?
Infact ni class issue hapa....
Unaumia roho with these people for nothing,oa kwenu,oa level yako,acha malalamiko!