Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

We babu hadi leo huna mtu wa kufanya nae maisha au unatuchora tu?
Bado natafuta, miaka yangu 62 Mimi mbona kijana mwenzako kabisa?
Ila leo Nina huzuni, Mabera guiter sololist wa Msondo katutoka.
[SUP]Mwaka 1977 kwenye uzinduzi wa chama Cha CCM tulikunywa nae boa wiki nzima, tulikuwa na complimentary kiwandani Ilala kwenye ile canteen ya staff.[/SUP]
 
Kuna watu wanakera Sana Yani kila Uzi kutukana uongo Mara kile kisa hajapata alichotegemea ili kufuraisha hadhara na alikuja as a friend imagine, personal matter analeta humu.
Pole sana Mama, mi ningekuwa yeye ningeshukuru sana maana siwezijua nimeepushwa na nini hasa hadi nikataliwe na wewe. Si unajua tena maisha yetu haya yasivyotabirika hasa hasa kwa siku za mbeleni huko Mama?
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli huwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
Huwa inatokea hivyo kwa wengi si wachaga tu bali wasiojielewa haijalishi kabila gani.

Kimaa na maisha yako bado una neema nyingi na pia nakushauri usirudi nyuma anayekuanza wewe mmalize taratibu ili aone maumivu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said..
Najua cwez Rudisha upendo uliokwishapotea Ila nafanya hivyo kujifurahisha.huenda mama yangu alizingua Ila ngumu mtoto kuelezwa.ila suala la kuacha Hadi kusomesha watt wako pamoja na kuwapatia mahtaj ya msingi pia shida ....aah

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuhusu kumsaidia kusomesha hadi watoto hiyo sasa ni wewe tu na msimamo wako...

Lazima uongee nae man to man kwamba you have your kids and I will have mine,its your duty kulea watoto wako mwenyewe uliowaleta duniani,I will do mine...

Hapa kakugeuza kama source of finances to cover his own bills,infact hana upendo na wewe kiivyo still,angekua nao asingekuomba hela sana sana angekuongezea mali on top of that....

Kakugeuza mgodi wa kuchimba,he has no geunine feelings for you..ukichacha leo hatakutafuta wala ndugu zake hawatakaa waku-text....

Problem hapa ni his abandonment he has done earlier....thats a problem!
 
Fuuck u ass shit-hole

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu

Una kichaa aisee...hata hujui kutukana kwa Kingereza...horrible English right there..

Una hasira kinoma,ndio maana hao wanawake wako wa Kichagga wamekukataa...

Sasa umekua emotional sana kila mtu unatukana....the funny thing unatukana kabila zima as if anybody knows who the fvck you are...

Relax mzee,oa wasichana wa kwenu,they deserve love and respect...

Ulivyo mkichaa umekimbilia makabila ya wanaokuona takataka and this what you get...blame your self hating nigga..

You hate yourself,you hate your people,you hate your women,you hate your tribe...its unfortunate aisee!
 
Back
Top Bottom