Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tena afadhali yako maana mwanaume ndo alikua mchaga ndo maana ukapata hata hiko kinafasi cha kutambulishwa ukweni
Mahusiano ambayo mwanamke ndo mchaga na mwanaume ni kabila jingine ndo yanakuwaga magumu balaa!!
Ni nadra sana mwanaume asiye mchaga (CHASAKA) kukubaliwa kuoa uchagani maana wanahofiaga kumpoteza member wa ukoo wao.
Kiufupi wachaga ni wabaguzi sana na wana ukabila kiwango cha SGR
Hebu tushauri basi lipi ni kabila safi la kuoa?
Maana juzi tu hapa mlikuwa mnawasema wanyakyusa, leo mko na wachaga.

Acheni ukabila. Usitoe hukumu kwa kusikiliza upande mmoja. Umeyajua mapungufu ya huyo mwanamke?

Lakn mwisho wa yote ni kwamba huwezi kuishi na mwanamke wa kichaga usipokuwa mwanaume.
 
Wewe haya hayaishi huyu kunguru ningemjua ningemzaba vibao huyo oooh
Kama mimi ni kunguru wewe ni nguruwe. Unasemaje nije ulipo tuanzie hapo maana naweza kuja nikitaka!
 
Hahaaa huyo jamaa ana nyege tu kwa kweli na kaonyesha udhaifu mkubwa wallah sasa anaandika hayo ili iweje [emoji23][emoji23] nichukiwe au some people need deliverance and healing wallah
Sasa kumbe unajua nina nyege, kwanini sasa hauniachii nikutombe
 
Hamna kupatana hapo huyu mtu kazi yake humu JF nikunitukana tu kila post na I'd nyingine too much hate ningekuwa na bastola ningemu shoot ya kichwa Wala maana hajiheshimu kabisa
Sinaga ID zaidi ya hii nashangaa unakazinia kusema nina account zaidi ya hii.....

Anyways hauna jeuri ya kushoot cause upo so weak and cheap. So deal with it!
 
pole sana mkuu lakini mbona sababu hapo yaonekana sio ukabila ,
 
Ni kweli huwa mnakwenda kutambika?
Halafu una Deni langu,sijasahau..kuna kitu nakudai.
Sijawahi kuona ile kurudi december ni kutambika..huwa tunarudi kutumia fedha tulizotafuta na familia zetu..na tuna sehemu nzuri za kufikia..Kama kuna wanaofanya hayo matambiko mimi sijawahi kuwaona
 
Napenda Kupata Mrejesho Mleta Mada
Vp Sasa Hivi, Mmeachana Na Maisha Yakoje
 
hapa naona tatizo sio wewe kutokua mchaga ila ni hilo kabila lako! sasa je wewe ni kabila gani???
NB: sijasema kua wewe ni msukuma ila tuambie kabila lako kwanza.
 
Sijawahi kuona ile kurudi december ni kutambika..huwa tunarudi kutumia fedha tulizotafuta na familia zetu..na tuna sehemu nzuri za kufikia..Kama kuna wanaofanya hayo matambiko mimi sijawahi kuwaona
Kumbe wanawasingizia!?!!
Poleni

Haya lile deni langu nasubiri ulitimize
 
Back
Top Bottom