Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Hebu tushauri basi lipi ni kabila safi la kuoa?Tena afadhali yako maana mwanaume ndo alikua mchaga ndo maana ukapata hata hiko kinafasi cha kutambulishwa ukweni
Mahusiano ambayo mwanamke ndo mchaga na mwanaume ni kabila jingine ndo yanakuwaga magumu balaa!!
Ni nadra sana mwanaume asiye mchaga (CHASAKA) kukubaliwa kuoa uchagani maana wanahofiaga kumpoteza member wa ukoo wao.
Kiufupi wachaga ni wabaguzi sana na wana ukabila kiwango cha SGR
Maana juzi tu hapa mlikuwa mnawasema wanyakyusa, leo mko na wachaga.
Acheni ukabila. Usitoe hukumu kwa kusikiliza upande mmoja. Umeyajua mapungufu ya huyo mwanamke?
Lakn mwisho wa yote ni kwamba huwezi kuishi na mwanamke wa kichaga usipokuwa mwanaume.