Tumeachana rasmi

Tumeachana rasmi

Mkuu unatania au uko serious?iv confidence bila Hela inatokea wap?mbona kama unajifanya umetua bongo Leo na hauna experience na Hawa dada zetu?
Watu wanaongea mambo kirahisi sana. Mara inferior complexity, mara confidence. Wanafikiri nililala na kuamka tu nikafanya maamuzi hayo.
 
Binti hujamuoa umhudumie wewe? na wazazi/ndugu zake wafanye nini?
Nakumbuka miaka fulani iliyopita nilipendga binti nikasema huyu naoa liwalo na liwe aliharibu tu siku aliyoniambia lazima unihudumie toka hapo sikuwahi kugeuka nyuma baada ya kauli hii pamoja na jitihada alizofnya kutaka kujua sababu za kumpotezea lkn ndio ilishaisha na zimebaki stor #tunahudumiamke
 
Nakumbuka miaka fulani iliyopita nilipendga binti nikasema huyu naoa liwalo na liwe aliharibu tu siku aliyoniambia lazima unihudumie toka hapo sikuwahi kugeuka nyuma baada ya kauli hii pamoja na jitihada alizofnya kutaka kujua sababu za kumpotezea lkn ndio ilishaisha na zimebaki stor #tunahudumiamke
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Humu kila mwanaume anajiamini, anachakata pisi kali, mjanja wa mjini. Kila mwanamke ni super woman, hapigi mizinga anajimudu kiuchumi, hayumbishwi na mwanaume. Hizi fake ID zinatusitiri sana.
Yan ukishayajua hayo hakuna wa kukusumbua hapa ndan... watu Wana ego ya juu sanaa ila nyuma ya pazia Kila mtu anajua hadhi yake kuichumi na kimahusiano..Bora wwe unatao kama iv at least unapunguza sumu mwlini
 
Hapana mkuu sijafurahishwa na huwa sipendi kumfuatilia wanaonipa taarifa nimewakataza wasinipe taarifa za kumhusu yeye. Na huwa sikuwa na ubaya wowote na yeye sema alishindwa kuonesha kunisupport kwenye hz hustle za mtaa so akaona anitukane kuwa kama nipesa niwe freemason. Mkuu mm sina kinyongo wala kisasi nae maana i was real 100%
Sasa mkuu si ulimuacha mwenyewe ulitaka akusupport vipi tena
 
Unakosea,Mimi wangu alinivumilia miaka 10 ya msoto na hakuwahi kunidharau na hela ya kutembeza bahasha alikuwa ananipa,yeye alikuwa anafanya kazi.U know what?nilipata kazi sasa ni mke wangu na nipo vzr kiuchumi.
Lakini cha ajabu utakuta unamsaliti na wanawake malaya ambao wasingeweza kukuvumilia hata wiki moja na unawahonga kabisa
 
Hapo umejiongeza mzee maana ungeachwa wewe soon 😁... Pongezi kwa hilo ila sasa hiyo ni mbaya kwa kuwa umesema ulishajiandaa basi ingekuwa vyema ukasubiri yeye akuache ili karma isijekukufanya ukajutia.... Huna tofauti na mtu aliejiua baada ya kuhisi hana jinsi, Mtu huyo ni mwenye dhambi.
 
Haya ni maneno ya binadamu anayejielewa. Safi sana bro!

Hawa wenzetu nao ni binadamu na wana uhuru kamili wa kujiamulia mustakhabali wa maisha yao. Wakati mwingine wanatukosea sana na kutuumiza lakini ndiyo maisha. We be real. We love them dearly (with pure intentions kama ulivyofanya) na wakiamua kuondoka, we wish them well...na maisha yanaendelea 🙏🏿🙏🏿 🙏🏿
ndio hivo mkuu. Tunapitiaga mengi magumu
 
Hapo umejiongeza mzee maana ungeachwa wewe soon [emoji16]... Pongezi kwa hilo ila sasa hiyo ni mbaya kwa kuwa umesema ulishajiandaa basi ingekuwa vyema ukasubiri yeye akuache ili karma isijekukufanya ukajutia.... Huna tofauti na mtu aliejiua baada ya kuhisi hana jinsi, Mtu huyo ni mwenye dhambi.
Nilijiandaa kutolewa lugha kali nitakavyomwambia ila kwa wakati husika mimi nimeona nilichofanya ndio sahihi na hii ni kwa faida yake pia if am wrong mambo ya karma itajulikana mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom