Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #61
Sawa jitawaze vizuri njoo geto. Mbona maneno mengiAcha ujinga wewe utakua una mapungufu zaidi ya kutokua na maokoto una shida nyingine behind the scenes,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa jitawaze vizuri njoo geto. Mbona maneno mengiAcha ujinga wewe utakua una mapungufu zaidi ya kutokua na maokoto una shida nyingine behind the scenes,
Utaolewa shauri yako kilichobaki ni kuangalia tu wanaume wakiwa wanapita nae wanaenda kumkanda jinga kabisaSawa jitawaze vizuri njoo geto. Mbona maneno mengi
Watu wanaongea mambo kirahisi sana. Mara inferior complexity, mara confidence. Wanafikiri nililala na kuamka tu nikafanya maamuzi hayo.Mkuu unatania au uko serious?iv confidence bila Hela inatokea wap?mbona kama unajifanya umetua bongo Leo na hauna experience na Hawa dada zetu?
Nakumbuka miaka fulani iliyopita nilipendga binti nikasema huyu naoa liwalo na liwe aliharibu tu siku aliyoniambia lazima unihudumie toka hapo sikuwahi kugeuka nyuma baada ya kauli hii pamoja na jitihada alizofnya kutaka kujua sababu za kumpotezea lkn ndio ilishaisha na zimebaki stor #tunahudumiamkeBinti hujamuoa umhudumie wewe? na wazazi/ndugu zake wafanye nini?
Kukandwa ndio sifa ya mwanamke au unawaonea wivu unataka kukandwa wewe?Utaolewa shauri yako kilichobaki ni kuangalia tu wanaume wakiwa wanapita nae wanaenda kumkanda jinga kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakumbuka miaka fulani iliyopita nilipendga binti nikasema huyu naoa liwalo na liwe aliharibu tu siku aliyoniambia lazima unihudumie toka hapo sikuwahi kugeuka nyuma baada ya kauli hii pamoja na jitihada alizofnya kutaka kujua sababu za kumpotezea lkn ndio ilishaisha na zimebaki stor #tunahudumiamke
Ila sishangai hii ndo JFWatu wanaongea mambo kirahisi sana. Mara inferior complexity, mara confidence. Wanafikiri nililala na kuamka tu nikafanya maamuzi hayo.
Humu kila mwanaume anajiamini, anachakata pisi kali, mjanja wa mjini. Kila mwanamke ni super woman, hapigi mizinga anajimudu kiuchumi, hayumbishwi na mwanaume. Hizi fake ID zinatusitiri sana.Ila sishangai hii ndo JF
Mjomba usicheke mi siku nimekaa vibaya hta mchepuko nauambia hebu okoa jahazi maana naona leo mke na wtt wanaweza wakalala njaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yan ukishayajua hayo hakuna wa kukusumbua hapa ndan... watu Wana ego ya juu sanaa ila nyuma ya pazia Kila mtu anajua hadhi yake kuichumi na kimahusiano..Bora wwe unatao kama iv at least unapunguza sumu mwliniHumu kila mwanaume anajiamini, anachakata pisi kali, mjanja wa mjini. Kila mwanamke ni super woman, hapigi mizinga anajimudu kiuchumi, hayumbishwi na mwanaume. Hizi fake ID zinatusitiri sana.
Sasa mkuu si ulimuacha mwenyewe ulitaka akusupport vipi tenaHapana mkuu sijafurahishwa na huwa sipendi kumfuatilia wanaonipa taarifa nimewakataza wasinipe taarifa za kumhusu yeye. Na huwa sikuwa na ubaya wowote na yeye sema alishindwa kuonesha kunisupport kwenye hz hustle za mtaa so akaona anitukane kuwa kama nipesa niwe freemason. Mkuu mm sina kinyongo wala kisasi nae maana i was real 100%
Lakini cha ajabu utakuta unamsaliti na wanawake malaya ambao wasingeweza kukuvumilia hata wiki moja na unawahonga kabisaUnakosea,Mimi wangu alinivumilia miaka 10 ya msoto na hakuwahi kunidharau na hela ya kutembeza bahasha alikuwa ananipa,yeye alikuwa anafanya kazi.U know what?nilipata kazi sasa ni mke wangu na nipo vzr kiuchumi.
Si nilimwambia anisubirie kdgo akashindwaSasa mkuu si ulimuacha mwenyewe ulitaka akusupport vipi tena
ndio hivo mkuu. Tunapitiaga mengi magumuHaya ni maneno ya binadamu anayejielewa. Safi sana bro!
Hawa wenzetu nao ni binadamu na wana uhuru kamili wa kujiamulia mustakhabali wa maisha yao. Wakati mwingine wanatukosea sana na kutuumiza lakini ndiyo maisha. We be real. We love them dearly (with pure intentions kama ulivyofanya) na wakiamua kuondoka, we wish them well...na maisha yanaendelea 🙏🏿🙏🏿 🙏🏿
Nilijiandaa kutolewa lugha kali nitakavyomwambia ila kwa wakati husika mimi nimeona nilichofanya ndio sahihi na hii ni kwa faida yake pia if am wrong mambo ya karma itajulikana mbele kwa mbele.Hapo umejiongeza mzee maana ungeachwa wewe soon [emoji16]... Pongezi kwa hilo ila sasa hiyo ni mbaya kwa kuwa umesema ulishajiandaa basi ingekuwa vyema ukasubiri yeye akuache ili karma isijekukufanya ukajutia.... Huna tofauti na mtu aliejiua baada ya kuhisi hana jinsi, Mtu huyo ni mwenye dhambi.
[emoji1787]Nimuoe,wewe si hauna hela? Mi ninazo