Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

nadhani ungelileta Aya Musa kamiliki watumwa haya mengine unajidanganya kwa kudhani ni mafunuo mapya.
 
ungalituwekea ushahidi wa watumwa weusi walikuwa na thamani nusu , usikimbie
 
Pumba tupu
Musa kaingiaje kwenye upupu wa vatikani unaoitwa bibilia
Torati ni Torati inajisimamia yenyewe ndio inayotumika na Hebrews
Mnag'ang'ania kuiingiza Torati kwenye upuuzi wenu wakati hao Hebrew hawataki hata kusikia kunakitu kinaitwa bibilia
 
Unajadili mada kwa hisia.

Unaongelea dhehebu, kanisa katoliki la Roma,wakati Mimi najadili Biblia na ukristo kwa ujumla wake. Kwanza hujajibu kuhusu hoja yangu. Unakosa focus.

Nakufundisha Tena...

1.Ukristo ulikuwepo kabla ya Roma na Vatican uliyoitaja.

2. Mohamed aliukuta ukristo Makkah.

3.Lebanon Kuna ukristo hata leo kabla ya Roma. Tena Lebanon wameenda mbali hadi kwenye bendera yao wameweka mti uliotajwa kwenye Biblia mara yingi zaidi.. Mielezi ya Lebanon. Nenda Angalia bendera yao.

4. Ethiopia Kuna ukristo wa asili ambao ulienea tangu siku ya kwanza ukristo kuexist. Ethiopia imetajwa mara nyingi kwenye Biblia.

Hayo ni machache. Ukitaka naendelea kukufunza.

Ila achana na mihemko ukitaka kujifunza,unahama kwenye reli.
 
Pumba tupu
Musa kaingiaje kwenye upupu wa vatikani unaoitwa bibilia
Torati ni Torati inajisimamia yenyewe ndio inayotumika na Hebrews
Mnag'ang'ania kuiingiza Torati kwenye upuuzi wenu wakati hao Hebrew hawataki hata kusikia kunakitu kinaitwa bibilia
Usiwe kama kiazi, hayo ni maandiko matakatifu na yametunzwa kwa miaka, na sio kilundi fulani cha watu ambacho kina hakimiliki nacho
 
Waingereza walipiga marufuku Biashara ya Utumwa Afrika ya Mashariki iliyokuwa ikiendeshwa na Waarabu.

Lakini sio kwamba Mwingereza hakuhusika na Biashara ya Utumwa alihusika huko Afrika ya Magharibi.
 
Waombe radhi kwa kitu ambacho hawajakifanya! Wewe endelea kuamini tu waarabu walishiriki, ila wenye elimu zao wanajua kama waarabu hawakuhusika.

Waarabu wabarikiwe sana
Acha ushabiki wa kipuuzi tu, dini ya kiislamu ni njema ila utamwa waarabu walishiriki kwa asilimia kubwa pia ndio watu waliokua na roho mbaya ya kuhasi watumwa wa kiume waliokwenda nchini mwao , kwa kifupi tu, waarabu na wazungu wote ndio wahusika pia, (wapo waarabu walio dili na uletaji wa Dini ya kiislama pia hawakujihusisha na biashara haramu ya utumwa ila wopo waliohusika moja kwa moja na biasgara hiyo)
 
Usiwe kama kiazi, hayo ni maandiko matakatifu na yametunzwa kwa miaka, na sio kilundi fulani cha watu ambacho kina hakimiliki nacho
Umeakisi IQ ya mbulula
Nendeni pia mkachukue na maandiko ya wahindu and buddhist mchanganye humu haya kwa wenye nayo ni matakatifu pia.
 
Hata waafrika walishiriki sana tu kuuza ndugu zao ,

In the early 18th century, Kings of Dahomey (known today as Benin) became big players in the slave trade, waging a bitter war on their neighbours, resulting in the capture of 10,000, including another important slave trader, the King of Whydah. King Tegbesu made £250,000 a year selling people into slavery in 1750.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…