Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

Umekimbia Unaogopa copy and paste ,

Pata hii

Let us look at Exodus 21:7-8 "And in case a man should sell his daughter as a slave girl, she will not go out in the way that the slave men go out. If she is displeasing in the eyes of her master so that he doesn't designate her as a concubine but causes her to be redeemed,he will not be entitled to sell her to a foreign people in his treacherously dealing with her."

When I looked up the word "concubine" in www.dictionary.com, I found:

1- Law. A woman who cohabits with a man.

2- In certain societies, such as imperial China, a woman contracted to a man as a secondary wife, often having few legal rights and low social status.

(Dictionary.com | Meanings & Definitions of English Words)

And when I looked up the word "cohabits", I found:

1- To live together as spouses.

2- To live together in a sexual relationship when not legally married.

(http://www.dictionary.com/cgi-bin/dict.pl?term=cohabits)

So in the Bible, the FATHER HAS THE RIGHT TO SELL HIS DAUGHTER TO BE FORCED TO SLEEP WITH OTHER MEN according to Exodus 21:7-8, and if she tries to be redeemed (to be set free), then her punishment is to be STUCK WITH HER MASTER!
nadhani ungelileta Aya Musa kamiliki watumwa haya mengine unajidanganya kwa kudhani ni mafunuo mapya.
 
Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwa na thaman Nusu.
Maelezo haya huyapati kwenye Quran bali Hadith.
Quran haielezi maisha ya Muhammad,maisha ya Muhammad yanelezwa na hadithi.
kupinga nilichokieleza kwa hoja ya muda ya kukusanywa Hadithi huo ni utetezi butu na kunaibua maswali mengine mengi zaidi.
certain thing ambacho ungeliongea na kuelewaka kabisa na kukatisha story ulipaswa useme:- HUKUBALI HADITHI" Full stop.
ungalituwekea ushahidi wa watumwa weusi walikuwa na thamani nusu , usikimbie
 
Biblia ni nini na injili ni nini?

Kwanini mnapenda kujadili haya mambo ya Imani kihisia baldala ya kuyajadili jinsi yalivyo? Kwa fact?

1. Musa aliandika vitabu Tano; mwanzo,kutoka,mambo ya walawi,Torati na hesabu.

2. Manabii wengine kina Joshua,Samweli nk wakaandika vitabu,mfano Daudi aliandika zaburi, Suleiman akaandika kitabu cha mhubiri.

3. Baada ya kupita manabii wengi na kuandika vitabu mfano Isaya,Ezekiel,Yona na waamuzi,baadae,akazaliwa Yesu "kristo". Alipokufa wanafunzi wake wanne wakaandika vitabu kuhusu maisha ya Yesu,kuzaliwa,kufa hadi kufufuka kwake na kupaa.

Hivi vitabu vikaitwa INJILI (Habari njema).

Kisha zikaandikwa nyaraka (barua) kwa ajili ya makanisa mbalimbali mfano kanisa la efeso,antiokia (uturuki) ambavyo hizi nyaraka zipo katika kundi la INJILI.

Na mwisho kabisa kitabu cha ufunuo wa yohana,ambacho ni kitabu cha ubabii kama cha Daniel.

5. Kuanzia kitabu cha mwanzo cha Musa hadi kitabu cha mwisho cha yohana aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu ambae aliandika hiki kitabu kwa wahyi(ufunuo) akiwa kisiwani Patmos alikotelekezwa ili afe,badala yake akaandika wahyi(ufunuo) hivi vitabu vyote 72 ndiyo vilikusanywa kwa pamoja kisha vikapewa jina Moja 'THE BIBLE'. Maana yake VITABU kwa lugha ya kiebrania,lugha aliyoongea Yesu,lugha ya Israel hata Leo.

Tujifunze kuheshimu Imani za watu japo kidogo na si kukejeri Kila saa.

Asante.
Pumba tupu
Musa kaingiaje kwenye upupu wa vatikani unaoitwa bibilia
Torati ni Torati inajisimamia yenyewe ndio inayotumika na Hebrews
Mnag'ang'ania kuiingiza Torati kwenye upuuzi wenu wakati hao Hebrew hawataki hata kusikia kunakitu kinaitwa bibilia
 
Unajadili mada kwa hisia.

Unaongelea dhehebu, kanisa katoliki la Roma,wakati Mimi najadili Biblia na ukristo kwa ujumla wake. Kwanza hujajibu kuhusu hoja yangu. Unakosa focus.

Nakufundisha Tena...

1.Ukristo ulikuwepo kabla ya Roma na Vatican uliyoitaja.

2. Mohamed aliukuta ukristo Makkah.

3.Lebanon Kuna ukristo hata leo kabla ya Roma. Tena Lebanon wameenda mbali hadi kwenye bendera yao wameweka mti uliotajwa kwenye Biblia mara yingi zaidi.. Mielezi ya Lebanon. Nenda Angalia bendera yao.

4. Ethiopia Kuna ukristo wa asili ambao ulienea tangu siku ya kwanza ukristo kuexist. Ethiopia imetajwa mara nyingi kwenye Biblia.

Hayo ni machache. Ukitaka naendelea kukufunza.

Ila achana na mihemko ukitaka kujifunza,unahama kwenye reli.
 
Pumba tupu
Musa kaingiaje kwenye upupu wa vatikani unaoitwa bibilia
Torati ni Torati inajisimamia yenyewe ndio inayotumika na Hebrews
Mnag'ang'ania kuiingiza Torati kwenye upuuzi wenu wakati hao Hebrew hawataki hata kusikia kunakitu kinaitwa bibilia
Usiwe kama kiazi, hayo ni maandiko matakatifu na yametunzwa kwa miaka, na sio kilundi fulani cha watu ambacho kina hakimiliki nacho
 
Waingereza walipiga marufuku Biashara ya Utumwa Afrika ya Mashariki iliyokuwa ikiendeshwa na Waarabu.

Lakini sio kwamba Mwingereza hakuhusika na Biashara ya Utumwa alihusika huko Afrika ya Magharibi.
 
Waombe radhi kwa kitu ambacho hawajakifanya! Wewe endelea kuamini tu waarabu walishiriki, ila wenye elimu zao wanajua kama waarabu hawakuhusika.

Waarabu wabarikiwe sana
Acha ushabiki wa kipuuzi tu, dini ya kiislamu ni njema ila utamwa waarabu walishiriki kwa asilimia kubwa pia ndio watu waliokua na roho mbaya ya kuhasi watumwa wa kiume waliokwenda nchini mwao , kwa kifupi tu, waarabu na wazungu wote ndio wahusika pia, (wapo waarabu walio dili na uletaji wa Dini ya kiislama pia hawakujihusisha na biashara haramu ya utumwa ila wopo waliohusika moja kwa moja na biasgara hiyo)
 
Usiwe kama kiazi, hayo ni maandiko matakatifu na yametunzwa kwa miaka, na sio kilundi fulani cha watu ambacho kina hakimiliki nacho
Umeakisi IQ ya mbulula
Nendeni pia mkachukue na maandiko ya wahindu and buddhist mchanganye humu haya kwa wenye nayo ni matakatifu pia.
 
Acha ushabiki wa kipuuzi tu, dini ya kiislamu ni njema ila utamwa waarabu walishiriki kwa asilimia kubwa pia ndio watu waliokua na roho mbaya ya kuhasi watumwa wa kiume waliokwenda nchini mwao , kwa kifupi tu, waarabu na wazungu wote ndio wahusika pia, (wapo waarabu walio dili na uletaji wa Dini ya kiislama pia hawakujihusisha na biashara haramu ya utumwa ila wopo waliohusika moja kwa moja na biasgara hiyo)

Hata waafrika walishiriki sana tu kuuza ndugu zao ,

In the early 18th century, Kings of Dahomey (known today as Benin) became big players in the slave trade, waging a bitter war on their neighbours, resulting in the capture of 10,000, including another important slave trader, the King of Whydah. King Tegbesu made £250,000 a year selling people into slavery in 1750.
 
Back
Top Bottom