Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Wote wanapata free pass refer World cup ya 2002 Korea and Japan
Mmefupisha uzi vizuri sana! Nyuzi ziwe fupi fupi straight to the point; great!Timu zote tatu zitakuwa na tiketi. Timu ni 24 hivyo 21 zitashindana.
Tanzania ndio itaandaa kulingana na Ubora wa kiwanja pia idadi ya wananchi wanaofatilia soka.... Ndio maana Rais wa TFF alilia baada kusikia Afrika Mashariki imekubaliwa kuwa mwenyeji kwa sababu Tanzania kuna Viwanja bora ukilinganisha na majirani pia watanzania ni watu wanaofatilia mpira
Daah!! Afadhali aiseee!!Tanzania ndio itaandaa kulingana na Ubora wa kiwanja pia idadi ya wananchi wanaofatilia soka.... Ndio maana Rais wa TFF alilia baada kusikia Afrika Mashariki imekubaliwa kuwa mwenyeji kwa sababu Tanzania kuna Viwanja bora ukilinganisha na majirani pia watanzania ni watu wanaofatilia mpira
Kwenye msafara wa mamba Kenge hua hamkosihyo hadi utopolo ndani.
Swali viwanja tunavyo?
na dili la tv tusije tukampa azam hana camera nzuri ataleta utata
Aaahhahhahhahhh2027 vipi kama tutakua Tz tumeuzwa USA,asa itakuaje wadau?
Afcon huwa haileti washabiki wengi, 30k tosha sana. Hata arusha wajenge hivyohivyo tu. Vitasaidia ligi kuu baada ya AFCONNIMESIKITIKA KUSIKIA DODOMA UNAJWNGWA UWANJA WA WATAZAMAJI ELFU 30000 TU.
NIKAJUA ITAKUWA ELFU TISINI
Elfu Tisini siyo mchezo mzee..ni rahisi kutamka lakini utekelezaji siyo rahisi ..NIMESIKITIKA KUSIKIA DODOMA UNAJWNGWA UWANJA WA WATAZAMAJI ELFU 30000 TU.
NIKAJUA ITAKUWA ELFU TISINI