Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

Ivo viwanja bora unavoongelea ni vp? Iviivi vya ccm au kuna vingine??
 
Ivo viwanja bora unavoongelea ni vp? Iviivi vya ccm au kuna vingine??
Au kuna viwanja vya Chadema pia?
Hapo mimi ninachoongelea ni kuwa Kenya na Uganda viwanja vyao sio bora kama vyetu....
 
Najiandaa mapema kabisa Kuicheki hii

Fainali kati ya Egypt na Senegal
Au Ghana na Cote D'Ivoire.

au Algeria na Cameroon.

By that time Sadio na Mo Salah umri unakuwa umeenda mbele sana.

Ila muhimu sana nitakuwepo
 
Au kuna viwanja vya Chadema pia?
Hapo mimi ninachoongelea ni kuwa Kenya na Uganda viwanja vyao sio bora kama vyetu....
Nipe jibu viwanja vyetu vina ubora gani ukitoa Lupaso na Chamazi?
 
Mkuu nakubaliana na wewe maana hata akina mama J nao wamo
 
Elfu Tisini siyo mchezo mzee..ni rahisi kutamka lakini utekelezaji siyo rahisi ..

Kwa Ulaya nzima ni viwanja viwili tuu vina uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 90 na ni Wembley elfu 90na na Camp nou 99,000
Zamani wakati nakuwa nikiwa mshabiki wa team yangupendwa. Nikajua OT ndio kila kitu
 
Hapo unauliza nn? Wataangalia na ukubwa wa nchi pia,, sasa Kenya na Uganda ukijumlisha hata haifk Tanzania Kwa nn wasitupe? Nchi ina aman watu wake wanapendana, hakuna vurugu ,viongoz wanaachiana madaraka Kwa aman ,na utawala mwingne unaingia ,sasa Kwa nn wasitupe? Hii nafas ni yetu Amin usiamn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…