BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
Hii nimsaidie ! Si kweli, baba wa mtume alifariki ameacha mimba ambayo ililelewa na babu. Historia ya baba wa mtume haikuzungumzwa sana kulingana na namna alivyoishia mwanzoni kabisa mwa masimulizi haya. Kama kuna mtu ana uelew mkubwa zaidi aweke hapa atume na kitab gan katumia siraa au tawhidiNi kweli mtume alilaniwa na Babaye?
mbona hakuwahi kuonana na babayake .baba yake alikufa mtume hajazaliwaNi kweli mtume alilaniwa na Babaye?
Ahsante. Buraq maana yake ni "mwendo mkali mfano wa umeme" au kwa ujumla "ni kama mwanga wa radi") ni kiumbe katika mila ya Kiisilamu ambaye alitumika kama usafiri kwa manabii fulani. Buraq alimbeba nabii wa Kiislam Muhammad kutoka Makka kwenda Yerusalemu na kwenda juu mbinguni na kurudi usiku huo huo. Kwasababu alikuwa akikimbia sana, anatua pale macho yake yanapoishia kutazama, alikuwa kikimbia mfano wa speed ya mwanga.Eti ni kweli alipaa angani na mnyama aitwaye "buraq" ambaye anamuonekano wa farasi jamii ya punda ila yeye ana kichwa cha mwanamke?
Tukio hilo liliwahi kutokea kweli au ni masimulizi tu kunogesha stori?
Kwa nini alioa binti mdogo khadja?Hii nimsaidie ! Si kweli, baba wa mtume alifariki ameacha mimba ambayo ililelewa na babu. Historia ya baba wa mtume haikuzungumzwa sana kulingana na namna alivyoishia mwanzoni kabisa mwa masimulizi haya. Kama kuna mtu ana uelew mkubwa zaidi aweke hapa atume na kitab gan katumia siraa au tawhidi
Je, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Ni kweli kitabu tukufu alikuwa anapewa haya zake mapangoni na majibu?
Na ni kwanini mjomba wake alimkataa kuwa yeye sio mtume wa MUNGU?
sio khadija ni Aisha bint abubakarKwa nini alioa binti mdogo khadja?
Je, hii ni sawa?
The same to Jesus alizaliwa ndipo wakaanza kuhesabu mwaka 1 lakini kwa nini huadhimishwa 25/12kama alizaliwa tarehe 8/6 mbona siku ya kuzaliwa inaadhimishwa mwezi wa 10
sio siku ya kiama ila ni kwa wale watakaofanikiwa kuingia peponi.siku ya kiama ni hukumu kwa watenda mema na maovu sio siku ya kupeana mabikiraJe, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Mtume alikataliwa na karibia watu wote hata baba yake mdogo alipinga. Wengi tu kun hadithi zinasema alipigwa wakamtoa meno.Ni kweli kitabu tukufu alikuwa anapewa haya zake mapangoni na majibu?
Na ni kwanini mjomba wake alimkataa kuwa yeye sio mtume wa MUNGU?
siku ya kuzaliwa yesu sio realistic maana haijaandikwa popote ni kundi flani liliamua kuitenga tar 25/12 ,wangeweza kuitenga siku yoyote ile ila ya muhamad ni realThe same to Jesus alizaliwa ndipo wakaanza kuhesabu mwaka 1 lakini kwa nini huadhimishwa 25/12
Je, mtume aliwafuga hao Buraq? Je, wanapatikana wapi siku hizi?Ahsante. Buraq maana yake ni "mwendo mkali mfano wa umeme" au kwa ujumla "ni kama mwanga wa radi") ni kiumbe katika mila ya Kiisilamu ambaye alitumika kama usafiri kwa manabii fulani. Buraq alimbeba nabii wa Kiislam Muhammad kutoka Makka kwenda Yerusalemu na kwenda juu mbinguni na kurudi usiku huo huo. Kwasababu alikuwa akikimbia sana, anatua pale macho yake yanapoishia kutazama, alikuwa kikimbia mfano wa speed ya mwanga.
Pia Ibrahimu alipomtembelea Hajiri na Ishmaeli. Ibrahimu aliishi na Sara huko Kanaani lakini usafiri wake ilikuwa ni Buraq walimsafirisha asubuhi kwenda Makka kuiona familia yake huko na kumrudisha jioni.
Ingawa Hadithi haionyeshi Buraq wazi kuwa na sura ya kibinadamu, bali hiyo ni sanaa ya Kiislamu ya Uhindi na Uajemi. Hii inaweza kuwa ilitokana na tafsiri ya kiumbe kuelezewa kuwa na "uso mzuri" kama uso wa kibinadamu badala ya mnyama.