Kwa nini unaona wivu je ulitaka akufumue wewe k si alikuwa nayo
Naomba kuuliza swaliKwa nini unaona wivu je ulitaka akufumue wewe k si alikuwa nayo
Hapana hakuna ukweliNaomba kuuliza swali
Kuna mtu aliniadithia mtume alikuwa na ugonjwa wa kichwa kwa baadhi ya nyakati ambao ulimfanya some time aonekane kichaa hata utume wake aliupata pindi akiwa na ugonjwa huu ambao ulimfanya akimbie kwenye pango la jabarhila?
Pia kipindi anakaribia kufa pia ni ugojwa huohuo ndio ulifika stage kubwa sana hali iliyompelekea kuzidiwa na kufariki kwa ugonjwa wa kichwa?
Je kuna ukweli katika hili?
Hakuna ukweli wa hili,Naomba kuuliza swali
Kuna mtu aliniadithia mtume alikuwa na ugonjwa wa kichwa kwa baadhi ya nyakati ambao ulimfanya some time aonekane kichaa hata utume wake aliupata pindi akiwa na ugonjwa huu ambao ulimfanya akimbie kwenye pango la jabarhila?
Pia kipindi anakaribia kufa pia ni ugojwa huohuo ndio ulifika stage kubwa sana hali iliyompelekea kuzidiwa na kufariki kwa ugonjwa wa kichwa?
Je kuna ukweli katika hili?
JeShekh.mkuu wa Dsm kuvunja ndoa ya Dkt year ni sahihi ? Au baraza la.maulaah mdio wapo sahihiYeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Misingi ya sheria ya kiislamu inaangalia maslahi mapana zaidiJeShekh.mkuu wa Dsm kuvunja ndoa ya Dkt year ni sahihi ? Au baraza la.maulaah mdio wapo sahihi
DuhKhur-lain
Katika imani ya dini ya Kiisilamu, hawa ni wanawake ambao watafuatana na waumini waaminifu wa Kiislam katika Pepo. Wasomi wa Kiislamu wanatofautiana kuhusu ikiwa wanarejelea wanawake waumini wa ulimwengu huu au uumbaji wao ni tofauti, lakini kwa hakika wanawake wa peponi wapo.
Sunni linatokana na neno Sunna yan mwenendo so mwenendo wa mtume ndio Sunna zenyew na wenye kuzifuata wanaitwa ahlu Sunna wal jamaa ama mashia sio waislamu na maadui wa uislam ndo mn wanatukana wake WA mtume na wanafunz wake
yesu angeshajua kabla huyo mama hajawazidi akili,halafu kuifa shaahid si ni kufa vatani au kujitoa mhanga sasa kula chakula kilichotegeshwa sumu hiyo sio kufa shaahidUlama wanasema rasul alikufa shaid Yan aliuwawa siku moja walialikwa chakula na mama WA kiyahud kumbe aliweka sumu mmoja katika maswahaba akafa ,na sumu ile inasemekana ndio ilimuua mtume and Allah knows best