huyu mwamba aliua watu wengi sana kwa interests zake.Unaruhusiwa kuuliza ndugu
Kweli kabisa mkuu
Mada nzuri ila wanapita kama hawauoni
Umeongea nini
Muhammad (s.a.w.), Mtume wa Allah (s.w.t.) alifariki siku ya Jumatatu ya kwanza ya Rabi al-Awwal ya mwaka wa kumi na moja Hijiria wakati wa mchana. Alikuwa ameishi kwa miaka 63 iliyopungua siku nane tu.kila kifo kina chanzo kama si ajali basi maradhi ,je chanzo cha kifo cha mtume ni nini?? na kama ni maradhi ni yapi na aliugua kwa muda gani
Ahsante. Ndio maana nikakueleza hiyo ni sanaa ya mila za Kiisilamu kwa Hindi na uajemi, Hii inaweza kuwa ilitokana na tafsiri ya kiumbe kuelezewa kuwa na "uso mzuri" kama uso wa kibinadamu badala ya mnyama.Kwenye translation ya mwanazuoni wa kiislamu maarufu kama Ibn Ishaq, alimuelezea buraq kama mnyama ambaye ni mnyama nusu farasi nusu mtu akiwa na mabawa pembeni
image ambayo unaweza ukaijenga kwa sifa hizo alizoelezea huyo mwanazuoni unaweza ukapata picha hii
Mimi nilikuwa nataka kuuliza tu, habari hiyo ni ya kweli au yakufikirika? Vigezo gani vilivyotumika kuthibitisha uhalisia wa hilo tukio?
Moja ya madai yanayotolewa mara kwa mara na wasio Waislamu ni kwamba baada ya Nabii Muhammad kuhamia Madina, alikua mkuu wa vita na kuanzisha vita vya kukera dhidi ya makabila yaliyomzunguka kwa faida ya ulimwengu. Ukweli ni kwamba watu wa Makka walikuwa hawavumilii dini mpya tangu mwanzo. Waislamu walilazimishwa kuchukua silaha kutetea haki yao ya kutekeleza Uislamu.Kwanini alikua amehalalisha kuibia wakureishi kwenye misafara yao ya biashara. Allah alimuagiza haya yote au
Haya uliyoyaandika hapa na kusema yanasemwa umeshawahi kujiuliza wanaosema ni wakina nani?wanasema sababu ya waislam kutokula kitimoto (nguruwe) japo wengine wanakula kwa kuvizia. Wanasema kwamba walimzika Muhhamad wakamuacha mkono unanin'ginia nje ili afufuke, nguruwe akapita nao.
i.) Je ni kweli?
ii.) Nipe sababu za waislam kula nguruwe (kitimoto) kwa kuvizia au kutokula kabisa.
Ahsante nduguSamahani Sheikh! Aliye anzisha vita vya Jihads ni Mtume mwenyewe, au ni Wafuasi wake waliomfuata baada ya kifo chake?
Jibril (AS) alisema: "Iqra."Yah ni kweli, lakini ukali w maneno hay "shushiwa mkong'oto" unawez kuleta taharuki hasaa. Mtume aliambiwa kusoma ilihali hajui. Na kuna nguvu kias ilitumika kulazimisha hilo
ndo matatizo ya mbongo unamuuliza swali badala ajibu na yeye anakuulizaHaya uliyoyaandika hapa na kusema yanasemwa umeshawahi kujiuliza wanaosema ni wakina nani?
Hapa sas hata mimi nimekumbuka sawia mkuu [emoji1374][emoji1374]Jibril (AS) alisema: "Iqra."
Iqra inaweza kueleweka kama "kusoma [kutoka kwa maneno yaliyoandikwa]" na "kusoma [kitu kilichokaririwa]."
Jibu la Mtume (SAW) lilikuwa: "Mimi sio msomaji" au "Siwezi kusoma."
Kama ilivyo, alikuwa akisema: Sijawahi kujifunza au kusoma chochote ili niweze kukisoma.
Kwanza, kwa sababu alikuwa hasomi na hakuweza kusoma vitabu, kwa hivyo ni wazi hakukariri chochote kutoka kwa watu waliopita. Pili, kwa sababu hakukariri usomaji wowote wa mdomo kabla ya yote.
Kwa hivyo, ndio sababu alichanganyikiwa juu ya nini cha kusoma.
Kisha, Jibril (AS) akamkumbatia kwa nguvu sana. Halafu, hii ilirudia mara tatu. Jibril (AS) alisema "Iqra," na akasema "mimi sio msomaji."
Baada ya mara ya tatu, Jibril (AS) alimfundisha nini cha kusoma:
Soma! Kwa jina la Mola wako aliyeumba: Amemuumba mtu kutoka kwa umbo la kushikamana.
Soma! Mola wako Mlezi ndiye Mkarimu zaidi aliyefundisha kwa njia ya kalamu, ambaye alimfundisha mwanadamu asiyoyajua. (96: 1-5)
Hizi ndizo Aya za kwanza za Quran zilizoteremshwa.
Kwa muhtasari, kile Jibril (AS) alisema kilimaanisha "kusoma" na hii inaweza kufanywa na mtu asiyejua kusoma na kuandika ikiwa atakariri kitu. Hivi ndivyo Mtume (SAW) alifanya. Alisoma kile alichokariri kutoka kwa Jibril (AS).
Vitu vingine vinahitaji akili ndogo tundo matatizo ya mbongo unamuuliza swali badala ajibu na yeye anakuuliza
Na wewe umetunia kitabu kipi kutupa hayo maelezo???!!!Hii nimsaidie ! Si kweli, baba wa mtume alifariki ameacha mimba ambayo ililelewa na babu. Historia ya baba wa mtume haikuzungumzwa sana kulingana na namna alivyoishia mwanzoni kabisa mwa masimulizi haya. Kama kuna mtu ana uelew mkubwa zaidi aweke hapa atume na kitab gan katumia siraa au tawhidi
Ahsante ndugu, Kuolewa kwake na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ilikuwa kwa Amri ya Allah (Subhaanahu wa Ta’ala) baada ya kufa mke wakwanza wa mtume Bi Khadija Mama wa Waumini Khadiyjah (Radhiya Allaahu ‘anha). Aisha alikuwa msichana aliyekomaa na alikuwa anakua kiakili na kimwili kwa uharaka wa ajabu walionao watu wachache sana.Alikuwa na umri gani?
Hadija pia alikuwa na umri gani?
Je ni kweli alishapita na mke ya "jamaa flani" alipoenda kumtembelea na akakuta jamaa hayupo?
Asante muft bado swali moja angalia para ya mwishoAhsante ndugu, Kuolewa kwake na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ilikuwa kwa Amri ya Allah (Subhaanahu wa Ta’ala) baada ya kufa mke wakwanza wa mtume ...
Siratul nnabaiNa wewe umetunia kitabu kipi kutupa hayo maelezo???!!!