Tumebakiwa na miaka michache tu tukutane na wenzetu nje ya dunia

Ctrl + W
 
Utakua jambo jema.

Tunapaswa kuona viumbe wengine walio nje ya hii Dunia.

Hata Elon anasema 2030 ataanza mchakato tuhamie sayari ya Mars, mungu abakie na dunia yake sisi tutasepa.
Mars hakufai kabisa.Angalia mlima wa vumbi hilo. Jeusi halina hata pa kupenya.Likipiga Dar es salaam yote hakuna kuonana.
 
Vitu vingine ukijua unajiongezea stress
Kwa wengine huwa ndio inapunguza kwani huwa tunajiona tushafika mbali sana na kuachana na vurugu za dunia kumbe tupo hapa hapa.
 
Nawashangaa sana ambao hamjakutana nao mpaka leo hii. Mbona wapo wengi sana?
 
Hakafu hizo UFO kwa asilimia kubwa zinatembelea maeneo yaliyotunswa kama siri na NASA.

Vere weird
 
Kwa usalama wake bora asirudi,
Akirudi wahuni watampiga miti.
Mungu akurehemu ndugu. Waulize Sodoma na Gomora kilichowatokea walipokuwa wana mawazo kama ya kwako kwa wale malaika. Wale walikuwa Malaika tu, angekuwa Yesu mwenyewe je...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…