Tumebakiwa na miaka michache tu tukutane na wenzetu nje ya dunia

Tumebakiwa na miaka michache tu tukutane na wenzetu nje ya dunia

Jana nilikuwa nasoma Article moja inayozungumzia kwamba ipi itakuwa hatma ya imani za kidini, pale itakapothibitika kuna viumbe wengine nje ya dunia. Maana hizi dini kuu, Abrahamic religion yaani ukristo na uislamu hazijaongelea Maisha ya binadamu nje ya dunia.

Nikakutana na sentesi moja inasema.

" To the most of scientist the question of aliens existence is not the question of if there is, but when"

Nimeanza kuyachukulia serious haya mambo.
 

Scientists Confirm Comet Samples; Briefing is ready

1696529974615.png

Hapo ni katika harakati za kuchunguza vumbi lilichochotwa kwenye kimondo cha Bennu
 
Kwa ufupi Yesu Kristo anakaribia kurudi!
Wa-Israel walirudi tena nchini kwao mwaka 1948. Wataalamu wa maandiko matakatifu wanasema kuwa baada ya wa-Israel kurudi, kizazi kimoja hakitapita. Kizazi kimoja ni miaka 100
 
Are we alone?
Absolutely not! It is impossible

There are about ten thousand billion billion habitableplanets in the observable universe, and some of these Earth-like worlds couldbe found by a mission set to launch early next month, a leadingplanet-formation theorist now speculates

Source:
 
Utakua jambo jema.

Tunapaswa kuona viumbe wengine walio nje ya hii Dunia.

Hata Elon anasema 2030 ataanza mchakato tuhamie sayari ya Mars, mungu abakie na dunia yake sisi tutasepa.
Hiyo safari kwenye scales za umbali ndani ya GALAXY (na si kwenye UNIVERSE) ni kama kutembea kutoka kwenye ufukwe ulio karibu kabisa wa BAHARINI kuingia ndani ya SOKO LA SAMAKI LA KIMATAIFA MAGOGONI
 
Vitu vingine ukijua unajiongezea stress
Kama tuko peke yetu na hatujui kama tuko peke yetu, then tunaweza kuwa tuna shida kubwa mbele yetu
Na kama vile vile hatuko peke yetu na hatujui kama hatuko peke yetu, ni matatizo makubwa vile vile
Ni bora tukajua kuliko kuendelea kukaa kwenye sintofahamu hizo mbili
 
Back
Top Bottom