Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Hakuna kitu kinachoitwa aliens huo ni uongo mtupu, ushahidi hakuna zaidi ya stori za kijinga.
Hivyo vyombo vinavyopita angani wanavyosema ni UFO sio kweli hizo ni ndege za wamarekan na warusi kiufupi huwa wanafanya maonesho ya ndege zao za kisiri za kivita ambazo huwa hawapendi zijulikane na raia isipokuwa kwa sababu maalum, na sababu yenyewe ni propaganda na upotoshwaji wa mambo.
Huko wanakosema aliens wapo huko ndiko ziliko kambi zao za majaribio ya siraha nzito, ndege za kivita na laboratories za utafiti wa magonjwa na uundwaji wa virusi hatari vya mashambulizi ya kibiologia.
Wanaweka vitisho kuwa kuna aliens kumbe uzushi mtupu, pia hata hizo mnazoona angani zikipita ni wao wana display picha wapendazo kupitia blue beam project inayohusisha kutengeneza taswira feki angani ambayo raia wakiona wanajua ni kitu fulani, na huenda wakatumia hata hii hii kuwaletea huyo Yesu wao wa mchongo kama wanavyotabiri manabii, wachungaji kuhusu ujio wa pili wa Yesu kristo.
Aliens wa kweli ilitakiwa watambulike kama Viumbe wa kiroho ambao hawaishi ktk Ulimwengu huu wa sayari na manyota isipokuwa wanatoka ktk dimension ya Tatu kutoka ktk hali inayoonekana(mwili) mpaka isiyoonekana (Roho) hao viumbe ndio wanaotakiwa kuitwa aliens maana kiuhalisia wapo dunian kupitia maumbo yasiyoonekana pia walishakuwepo dunian kupitia maumbo yanayoonekana na walifanya staarabu nyingi dunian mpaka kuja kuondoka kwao ktk miili ya kimwil na kubaki kiroho,
Kiufupi hao mnaowaita Aliens walishaondoka zamani sana Maelfu ya miaka kwa miaka hii hawapo maana hawana miili ya kimwili hivyo hawawezi kuinteract na binadamu kwakuwa hawaonekan yaan Roho zao ndizo zipo miili yao haipo, hivyo kibinadamu tunasema THEY ARE NOT EXISTING (hawapo).
Aliens nyakati hizi ni michezo ya kitoto na upuuzi mwingi wa wazungu kusambaza propaganda zao wanazotumia kuwapumbaza wajinga na wavivu wa kutumia akili, ni mjinga pekee atakayeamini aliens waje dunian waonekane huko huko uzunguni kwa wazee wa propaganda.