Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Wakuu,
Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m nina haya ya kuuliza;
° Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani?
° Kwanini hatupewi taarifa ya maendeleo ya michango?
° Kama pesa haijatimia iko wapi na inatumika vipi?
° Tumefeli wapi kukamilisha mchango wa gari hili muhimu kwa muheshimiwa?
Nawasilisha