Kwa vile unataka ujue kiasi na wewe ungeanza na kutaja kiasi ulichochangia. Mfano, useme mimi nilichangia Sh....na ningetaka kujua jumla tumepata kiasi gani? Lakini pia ujue ni kiasi hicho ulichochangia tu ndiyo fedha ulizochanga zinazokuhusu wewe hizo nyingine zinawahusu wengine waluochangia pia.Nilichanga ndio maana nauliza
Mnataka michango yetu tusihoji kama mnavyoogopa kuhoji ruzuku?