Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mchango wako haujafika. Utajulishwa ukifika.Wakuu
Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m ninahaya ya kuuliza
°Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani
°Kwanini hatupewi taarifa ya maendeleo ya michango
°Kama pesa haijatimia iko wapi na inatumika vipi
°Tumefeli wapi kukamilisha mchango wa gari hili muhimu kwa muheshimiwa
Nawasilisha
Nami leo nahitaji kupata update
Au tuliingizwa king kwa force
Mtu kaomba hela kwa Basha wake kakosa kaishia kukopwa marinda sasa kwa hasira anaishia kukurupukia kwa LISSU Pumbaaaaaaaf
Kwa vile unataka ujue kiasi na wewe ungeanza na kutaja kiasi ulichochangia. Mfano, useme mimi nilichangia Sh....na ningetaka kujua jumla tumepata kiasi gani? Lakini pia ujue ni kiasi hicho ulichochangia tu ndiyo fedha ulizochanga zinazokuhusu wewe hizo nyingine zinawahusu wengine waluochangia pia.
Wewe hujachanga unatafuta umbea tu. Wajinga ndiyo waliwao. Unamchangia mtu aliyekuzidi kipapo . Shazi
Wajinga ndio waliwao
Vipi mmefanikisha kununua gari?
Gari imenunuliwa au
Ulimchangia?
Basi umepigwa
Hamna hoja, mmeliwa!
Chezea wajanja weye!
Ubelgiji tu hawakumchangia!!
Kaja kuwaokota mambumbumbu bongo!
Gari ilinunuliwa?Taarifa ilishatolewa na Lissu
Kama kibenten wa mama yakoUnauliza Kama nani?