Tumechanga kiasi gani kwaajili ya gari ya Tundu Lissu? Mbona kimya kingi?

Mtu kaomba hela kwa Basha wake kakosa kaishia kukopwa marinda sasa kwa hasira anaishia kukurupukia kwa LISSU Pumbaaaaaaaf
 
Mkuu mchango wako haujafika. Utajulishwa ukifika.
 
Nami leo nahitaji kupata update
Au tuliingizwa king kwa force
 
Mbona taarifa ilishatolewa kwamba kiasi kilichochangwa ni milioni 70. Tena Lissu mwenyewe alisema.
 
Mtu kaomba hela kwa Basha wake kakosa kaishia kukopwa marinda sasa kwa hasira anaishia kukurupukia kwa LISSU Pumbaaaaaaaf

Una matatizo ya kisaikolojia. Katafute tiba. Sio utani nakwambia kweli
 

Wa hivyo unakuta hajachangia.
 
Jamiiforums imekuwa na Wanachama wa hovyo hovyo sana. Na hawajielewi hata kidogo, halafu ndio tutegemee kupata taifa la Vijana wenye uwezo wa kuhoji na kusimamia mambo. Mleta uzi uwe unafuatilia mambo sio kukurupuka na kuanzisha uzi wa kipuuzi kama huu. Lissu alishawahi kutoa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…