Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 608
- 590
Kama ulisoma utakuwa ulisha mitihani wewe,kwani chadema hawana account? Mnaunganisha dots ili mpate kuchafua watu tuMabeberu walizituma kupitia NGO fulani ya Haki za Binadamu Tanzania ila zimezuiliwa bank kutumika hadi upelelezi wa kusudi wa hela hizo utakapokamilika.
Mimi nitachangiaUjumbe umefika,HATUTACHANGA PESA
Mimi nitachangia 300Nimeenda na kesho pale tabata liwiti ninaenda tena.
Ila mkianza kuchanga pesa, tutawaongopea tena kuwa hakuna network
Chadema kuna account ya Mwamba tu. Muulize Silinde au Waitara wanajua vizuri.Kama ulisoma utakuwa ulisha mitihani wewe,kwani chadema hawana account? Mnaunganisha dots ili mpate kuchafua watu tu
Tutachanga wenyewe kama tulivyochanga kuwatoa jela. Wauwaji wakubwa nyieChadema kuna account ya Mwamba tu. Muulize Silinde au Waitara wanajua vizuri.
Kwani umelazimishwa?hata ukichanga kwani utachanga shilingi ngapi itayokufanya upige pige makelele hukuMkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.
Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.
Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.
Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Sema huna pesa, umenyonywa na mfumo wa CCM nani bado unashabikia ujinga
Kwani umelazimishwa?hata ukichanga kwani utachanga shilingi ngapi itayokufanya upige pige makelele huku
Tutachanga wenyewe kama tulivyochanga kuwatoa jela. Wauwaji wakubwa nyie
Kwani lazima uchange acha Shobbo na umavimavi usio wa Lazima,, waache wenye pesa zao watoe pesa
Na malori kumbe yapo[emoji116]Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.
Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.
Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.
Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Tulia sasa,yasiyokuhusu achana nayo,tulia na mkeoKwa nn nichange? Pesa za ruzuku kazi yake nini?
Ukale kimya basiNi kweli sina pesa na ndio maana ninasema nachangaje?
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.
Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.
Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.
Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Gharama za mawakili kwa kesi zisizoisha,hao mawakili hawafanyi kazi bure.Nazani chadema walitakiwa kabla ya kuchangisha waseme rudhuku zimefanya kaz gan.