Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

Mkuu turudishie hela yetu,singo yako mbovu....kila siku nyimbo zile zile tu..

Alafu haukulazimishwa uwende studio ili ukatengeza nyimbo ili hali unajua kuwa huna vyako mfukoni...waache wasanii wenye kujielewa ili wapate kufanya vile watu hupenda kufanya...
 
Kwani lazima uchange acha Shobbo na umavimavi usio wa Lazima,, waache wenye pesa zao watoe pesa
 
Mabeberu walizituma kupitia NGO fulani ya Haki za Binadamu Tanzania ila zimezuiliwa bank kutumika hadi upelelezi wa kusudi wa hela hizo utakapokamilika.
Kama ulisoma utakuwa ulisha mitihani wewe,kwani chadema hawana account? Mnaunganisha dots ili mpate kuchafua watu tu
 
Chadema kuna account ya Mwamba tu. Muulize Silinde au Waitara wanajua vizuri.
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Kwani umelazimishwa?hata ukichanga kwani utachanga shilingi ngapi itayokufanya upige pige makelele huku
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Na malori kumbe yapo[emoji116]
FB_IMG_1598816700559.jpg
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.

Punguani wewe. Unajifanya mwana CDM siyo! Kazi yako ni kuhudhuria mikutano kila unapofanyika, siyo! Huna kazi nyingine, siyo! Unataka tukuamini wewe ni mkereketwa, siyo! Basi, una akili ndogo sana. MwanaCDM hawezi kuwa wewe kwa ufinyu huo wa mawazo. Kavae ukijani wako ukaunge juhudi za bwana yule mla mahindi ya kuchoma barabarani juu ya paa ya V8!!! ya Serikali. Ushamba mwingine nao ni mzigo.
 
Nazani chadema walitakiwa kabla ya kuchangisha waseme rudhuku zimefanya kaz gan.
Gharama za mawakili kwa kesi zisizoisha,hao mawakili hawafanyi kazi bure.
Gharama za kumtibu Lissu japo sina uhakika na hilo.
Gharama za uchaguzi wa mwaka huu.
 
Kampeni za akina matonya, kutembeza vibakuli wakati ruzuku imewekwa kibindoni. Bado kuchangisha pesa ya kwenda Ubelgiji kuwekewa grisi kwenye vyuma. Mwili mzima si una vyuma? Vyuma lazima vifanyiwe service ya kuwekewa grisi.
 
hujalazimishwa hujafungwa mikono endelwwni tu kupigania watekaji wauaji na waminya dwmokrasia
 
Usikimbie ukisikia li jiwe lenu limemchangia ndugu yake Mh Peter Msigwa mgombea ubunge wa iringa mjini
Tena nikuambie siku hiyo lijiwe likisikia Mh Peter Msigwa anaomba mchango litapiga lenyewe simu live na kumwambia Mh kama huna hela kutolea nipe namba ya wakala nikuchangie
 
Back
Top Bottom