Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

Mawaziri nguli wamekutana sasa ... Makamba na Mwigulu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
mkuu,uliyoyaandika ni kweli tupu.ila tusome alama za nyakati ,mi nadhani tukomae tu,haya unayosema sio kwamba hawayajui ,wanayajua Ila hakuna namna. duniani huko kumechafukwa kwelikweli.
 

Wapandishe na nauli kabisa- kwani faida kwa serikali hii ingependeza zaidi.
 
Kinachonisikitisha ni kua ktk hili hatuna mipango ya muda mrefu...
kwa sisi tulioambiwa tuna akili ndogo tulizani ule mradi wa kujenga matank ya mafuta ya Tipper huu ndo ulikua muda wake kujengwa kwa kasi kubwa.
Tuwe na uwezo mkubwa wa kununua wakati bei ikiwa ndogo na kuyahifadhi incase of inflation

Tulizani pia huu ndo ulikua muda pia kuongeza vituo vya gas, na kutoa ruzuku km ile ya mafuta ili vijengwe vituo vingi vya kuunganisha gasi kwenye magari kwa bei nafuu na pia ujenzi wa vituo vya kuuza gas.

Inchi hii wasio na nafasi wana maono ila hawana uwezo wa kuyafanzia kazi, na wenye nafasi hawana maono so hawana cha kufanyia kazi, mwisho wa siku wote tunabaki kwenye endless loop ya malalamiko.
 
Inchi hii wasio na nafasi wana maono ila hawana uwezo wa kuyafanzia kazi, na wenye nafasi hawana maono so hawana cha kufanyia kazi, mwisho wa siku wote tunabaki kwenye endless loop ya malalamiko[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Lakini mkuu hivyo vyanzo vipya vikiletwa si ni sisi wananchi ndio tunaanza kulalama tena?
 
Tutaona mengi
 
Inchi hii wasio na nafasi wana maono ila hawana uwezo wa kuyafanzia kazi, na wenye nafasi hawana maono so hawana cha kufanyia kazi, mwisho wa siku wote tunabaki kwenye endless loop ya malalamiko[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bro unadhani ile 100B kwa vituo vya gasi unadhani tungejenga vingapi?or wangeitoa io 100B yajengwe matank ya kiweza kuhifadhi mafuta kwa miezi 6 to yr?
tungevumilia within a yr or two tungekua tumesahau hizi shida. ni vile tu hakuna watu wenye maono na nia dhabiti ya kutaka kutatua tatzo, wanataka ku capitalize kwenye matatzo yetu, waume na kupuliza then maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…