Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

Ngoja na mimi niingize fee yangu hapo.
 

Kwakweli kwa hali hii gari napaki walahi! Maana pesa imekuwa ngumu kupatikana na kama ivi mafuta yanazidi kupaa..... wanao tuongoza sio tulio wachagua ndo sababu mambo yanakuwa ivi
 
Ninachojua mimi Muislamu anamuona Mkristu kama low class binadamu, hivyo kila kitu kipo hapo, hiyo dharau yote mnayopewa, sababu ni hiyo, haijalishi mtajipendekeza vipi lkn deep down Muislamu has no respect for you, labda usilimu, umeona wanavyoanza kumvaa Majaliwa, Mke wake ni Mkristu nilisikia!
 
Siku 2 au 3 za nyuma nilikuwa sijatembelea vituo vya mafuta leo asubuhi nimeamka gauge iko chini nikasema ngoja nisogee kituoni.

Hamadi nakuta ubao umebadilika kidogo nigombane na pump attendant kuona anataka kunipiga kumbe ndio bei elekezi daah.

Serikali ile ruzuku ilikuwa changa la macho au vipi mana mafuta yamerudi kulekule yalikokuwa.
 
Kwani MAJALIWA K anasemaje? Angalau yeye huwa tofauti na wengine kwenye mambo kama haya ya kitaifa.

Hebu atupe neno la faraja
 
Mie muda mwingine nakaa kimya. Hata sisi si ndo tulishangilia sana baada ya mwendazake kufariki na tuliompinga mama tulionekana NI sukuma gang sasa makelele ya nini????

Goja atunyooshe ili sote tuitwe sukuma gang!
Mwanzoni walienda Burundi sasa hivi watakuwa wamerudi.
 
Ni kweli kabisa siwezi kukataa kabisa nilifanya vile kwa nyakati husika.. Na hata sasa bado ana nafasi ya kuweza kufanya tofauti na haya yanayoendelea..Lakini kama akikubali kuwa msikivu
Na bado vita ya Urusi na Ukraine haiishi leo wala kesho sisi Sukuma gang tushazoea kunyooshwa kama mnavyo tukejeli.
 
Du hayo makolokolo yooote kwanini yasiondolewe?
 
Magufuli aliwezaje kucheza na wafanya biashara?? Kipindi cha Corona tulinunua wese kwa 1,500. Mafuta hayawezi shuka bei sababu viongozi wakubwa wa hii nchi wanafanya biashara za mafuta.

Na kwanini serikali isichukue jukumu la kuagiza mafuta then ikayauza kwa wafanyabiashara??

HII NCHI ITAJITAMBUA PALE CCM ITAKAVYOTOKA MADARAKANI lasivyo niiteni mbwa nimekaa palee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…