Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

Nchi hii itakombolewa na watanzania wenyewe.

Hakuna mwanasiasa mwenye Nia ya kuwasaidia watanzania. Angalia CCM wanasemaje kuhusu mafuta kimya ???

Angalia ACT? Wote kimya!


Kipindi cha Magufuli Zitto kabwe angekuwa ameshamrushia vijembe Ila Leo Zitto na yeye analamba asali.

Watanzania haki zenu mtazipata kwakutumia mikono yenu.

Natamani mafuta yafike Lita shilingi 13,500 ili tujue haki zetu.
 
Kama kweli wanataka kutusaidia wafute KODI kwa wafanyakazi wenye mishahara midogo
 
NCHI NGUMU SANA HII UTITIRI WA KODI
 
Ana ajenda zake huyo yeye akipewa laki baada mwezi atabki nayo?
 
Em ngoja kwanza Mshana Jr , twende taratibu maana naona umeishia njiani, hadi hapo 2,275/= kwa liter nimeelewa kwa whole sale.

Hapo kwenye retail ndio umeacha hewani hewani. 2275 + 108 + 5.44 + 10 + 6.1 unapata 2,404.54/= sivyo? Sasa hii bei ya 3,300 na kuendelea inatoka wapi???!!!

Yaani kutoka 1,116/= hadi 3,300/= kuna uchawi gani hapa katikati?!
 
Hata sijui
 
Sio njaa ni ulafi kaka...maana hawako kwenye viwango vya njaa

Na Kweli ni ulafi na hawaridhiki wala kujali utu
Hebu angalia wenzetu MP 53 mpaka sasa wameachia ngazi zao [emoji636]
Hawana imani na PM hata aliemchagua jana kuwa waziri wa fedha bado nae kamuambia Boris aachie ngazi

Hebu imagine kwetu watathubutu kuachia Ubunge na mawaziri ?


Bro jana hapa [emoji636] sheria imetoka wanaopata mshahara mpaka £12500 wasikatwe kodi hata senti kwa sababu ya ugumu wa maisha

Sasa Sisi viongozi wetu wanataka tufe na hawajali
 
Huko tayari watu wanajielewa na kuiitambua na haki zao zinalindwa na hawako kwa ajili yao bali kwa taifa.. UZALENDO ndio kila kitu kwao
Imagine hapa kwetu umwambie mwezi wa kwanza ana madelu wajiuzulu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…