GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na anakimbiakimbia tu Uwanjani kama Mlevi wa Togwa huku yule tuliyemdharau (Baleke) akiwa anafunga tu Magoli na huenda hata Jumamosi tarehe 16 April, 2023 akatuumiza / akatufunga.
Musonda nae asipoanza Kufunga Magoli mengi mengi (na yawe ya maana) kama ya Yule Baleke (wa Simba SC) tuliyekuwa tukimdharau basi GENTAMYCINE natangaza rasmi kuhamia Simba SC.
Cc: Nyanda 02
Musonda nae asipoanza Kufunga Magoli mengi mengi (na yawe ya maana) kama ya Yule Baleke (wa Simba SC) tuliyekuwa tukimdharau basi GENTAMYCINE natangaza rasmi kuhamia Simba SC.
Cc: Nyanda 02